Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakati mama Maiko kamwambia Mary nunu kamnunie mumeo, nikaikumbuka hiyo taarabu ‘ bado hujanuna…


Nae kakosea, ule mshtuko sijui itakuwaje… angekaza tu
Hahaha sijui alituma meseji gani jamani, labda amzuge kuwa ni mambo ya surprise ya baby shower yake.

Btw nimeona "behind" yako. Mtoto una balaa wewe
 
Hahaha sijui alituma meseji gani jamani, labda amzuge kuwa ni mambo ya surprise ya baby shower yake.

Btw nimeona "behind" yako. Mtoto una balaa wewe
Amekosea alivyoshtuka.. ngoja tuone hiyo tumoro..


Dyadya hiyo nimesema nimeiokota, kuna simu hivi nimeikirupua kabatini ndio nikakuta ile picha… pale kg zilikuwa zinakaribia 60

Now nachezea 32… imagine 😂😂😂
 
Happy birthday [emoji4]
Sis ake upooo?

Umeona ndoa ya kingoni kwa GARA B? Wangoni hatuna show mbovu, bwana harusi anamwaga uno, linamwagika moja moja,

Watu weuweeeeeeeeeeh!!!! Ikapigwa ile nyimbo ya "wanda wanda" wee mbna niliacha cm pembeni nkafunga nguo kiunoni acha nilimwge na mie uno la uzazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Woyooooooooh
 
Back
Top Bottom