Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kesho usisahau promise me ShemOoh pole
Nishajifungia ndani shem
Ningekuwa karibu labda
Kesho usisahau promise me ShemOoh pole
Nishajifungia ndani shem
Ningekuwa karibu labda
[emoji6]Ahhaaaa Kimber waooohhh!! Happy to know that mamy!!
Wewe utatubless lini na vocha??Kesho usisahau promise me Shem
Ahsante EverglowEverglow
Hahaha same hereNmekumbuka zaman wakat katoto nilikua napenda sana tamthilia zile za kizungu na hamna namna nyingine ya kuangalia zaidi ya kusubiria irushwe kwene Tv, ikifika muda kama kuna vipande vya hovyo hovyo wanatufukuza watoto [emoji1787] unahisi uchungu tamthilia unaitaka lkn wazee wamekazaa. Maisha bhana
Yani huyo anataka yeye apewe tu vocha!!🤔🤔Wewe utatubless lini na vocha??
Ukiachika [emoji34][emoji34]Wewe utatubless lini na vocha??
Haya shemKesho usisahau promise me Shem
Pole rafiki, kuna vijisababu vilinilazimu kuchange Id, nitabaki nayo hii siku zote.Ahsante Everglow
Hii mambo ya kubadili username yatatuchanganya sana wallah
Hata ww pia mamdoYani huyo anataka yeye apewe tu vocha!![emoji848][emoji848]
AfadhaliPole rafiki, kuna vijisababu vilinilazimu kuchange Id, nitabaki nayo hii siku zote.
Mamdo Nimefanyeje???Hata ww pia mamdo
Kumbe ndyo ww x wangu mxieeewEverglow
[emoji23][emoji23] nimelia sana kufukuzwa kuangalia Tv, kuna tamthilia nimekuja kuzitafuta mwenyewe ukubwani.Hahaha same here
Mzee alikuwa ananifukuza kabisa , anasema pichaza kishetani ... Labda iwe ya kifilipino .
[emoji23][emoji23][emoji23] G jamaniKumbe ndyo ww x wangu mxieeew
Ulidate na ModeratorPole rafiki, kuna vijisababu vilinilazimu kuchange Id, nitabaki nayo hii siku zote.
Hahaa haki tena nimecheka.Kumbe ndyo ww x wangu mxieeew
Huyo achana nae kavurugwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G jamani
Ni ana vituko mpaka basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anaburudisha sana Selfika 😂😜!![emoji23][emoji23][emoji23] G jamani