EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,310
- 13,953
Mi nimejikuta tu sina sababu maalumu na nazila sanaaa.Ziwe za maji za kusukuma ,kuna zingine zinakua kama na layers hivi.Nazitandika vibaya sanaa.
Mi nimejikuta tu sina sababu maalumu na nazila sanaaa.Ziwe za maji za kusukuma ,kuna zingine zinakua kama na layers hivi.Nazitandika vibaya sanaa.
Ivi ni kweli[emoji848]Wanywa pombe kuwakuta hawana vitambi ni kumi kwa mia [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ni rahisi sana.Ila niwe mkweli chapati za kusukuma sijui kabisa na hata sitaman kujifunza. Labda cake.
ww binti mm siyo doktaInategemea, kuna nyakati wagonjwa ndio tunazingua na kuna muda nyie madokta mnazingua.
Za layers ndio zipoje hizo?Mi nimejikuta tu sina sababu maalumu na nazila sanaaa.Ziwe za maji za kusukuma ,kuna zingine zinakua kama na layers hivi.Nazitandika vibaya sanaa.
Tobaaa Tinsley cha utundu nisamehe unajua kupika sana ww chief cooker pekee wa dar
Wa kunifundisha hayupo akija nitajaribu. Nazipenda mno ila kupika sijui mwee [emoji2]
Wee mimi sio binti ni mama [emoji23][emoji23]ww binti mm siyo dokta
Zinakua kama zinabanduka magamba hua nikienda Mwanza kuna Bi mkubwa mmoja ni master.Za layers ndio zipoje hizo?
Sure thing [emoji7][emoji3531]Twende dear, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sawa sawaWanatoa kadude kama cotton bud unapewa unakipachika mwenyewe huko chini kupata yale maji maji na si kuweka vidole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm najua wanawake wengi hamjui kupika chapati Kuna mmoja alisingizia ana mikono ya uzazi hawezi Kusukuma chapatiIla niwe mkweli chapati za kusukuma sijui kabisa na hata sitaman kujifunza. Labda cake.
Embu nibless picha yako pm nioneWee mimi sio binti ni mama [emoji23][emoji23]
Yeah ajira nyingi sana zina fursaTena ajira ni nyingi.
Tatizo jamii imechukulia kama course isiyo formal.
Mimi najua za maji tu za kusukuma ndio kisanga. Ni uvivu wa kujifunza naamini kila kitu kinawezekana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm najua wanawake wengi hamjui kupika chapati Kuna mmoja alisingizia ana mikono ya uzazi hawezi Kusukuma chapati
Hizi hapa mtandaoni zinaitwa kumbe 'chapati za kurasa'Za layers ndio zipoje hizo?
Nakuja jirani
Wee amini hilo [emoji23]Embu nibless picha yako pm nione
🤣🤣🤣Sijui kwanini nilipoteza muda kusoma mavitu maguumu..hadi nazeekea shule.
Ningesoma zangu hotel mgt sasahivi ningekuwa nakaangiza tu mahotelini.
[emoji39][emoji39] upate na maini hapo na juice ya embe mwee dunia yote yako.Hizi hapa mtandaoni zinaitwa kumbe 'chapati za kurasa'View attachment 2264939