Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaume hata lugha zao wengi wanajitahidi kuwa na lugha nzuri akina sie sasa [emoji23][emoji23] mdomo kwa kwenda mbele. Napenda baadhi ya hospital ukienda unaulizwa kabisa unahitaji kuhudumiwa na dr wa kike ama wa kiume fasta sana nawajibu dr mwanaume tafadhali.
Ni wapi huko hospital? Tena nachagua huyo Dr wa kiume awaje, hadi umri pia nachagua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23] niliendaga Amana Kwa wale wa bima. Nilikuwa naumwa mguu ye sijui alijua naumwa paja. Si akasema nyanyuka uvue nione. Weee, nikamwambia dkt mie naumwa mguu, weee alisonyaaa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom