Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah true love ipooo. Tena ni Raha asikwambie mtu. Hasa ukipendwa dear. Halafu ajue na kupika Sasa then asione shida yeye kuingia kupika[emoji1]. Mana Kuna wale nipike ww wafanya nini? [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!


Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda [emoji3590]
Ikitokea hii aiseee ni[emoji91]
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
Munguu juu mbinguni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom