Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Aahaaa Alicia Keys kidolee tu jamani 😉😉 leo funga basiAah ngoja kwanza nikanywe chai nitarudi 😀😀😀🚶♀️
Aahaaa Alicia Keys kidolee tu jamani 😉😉 leo funga basiAah ngoja kwanza nikanywe chai nitarudi 😀😀😀🚶♀️
Nimeamka vyema nashukuru MunguSawa sis
Uko poa wewe
Salama kabisa mdogo wangu umeamkaje?Ndiyo rafiki
Habari ya leo ?
Lips za heshima❤❤❤❤
Ooh thank you rafikiLips za heshima
Ahsante sana rafiki
Na Jumatatu ikawe njema sana![]()

Hujali kutunza privacy zako au taarifa zako kupatikana ? Ujue unaweza kutumika kama third party hata kama unahisi unachofanya hakina shidaAh selfika iendelee
Mimi kwa kweli sijali![]()
Tabia zipiBila hizi hautaingia.
Wewe ukienda kule na hizi tabia zako mbona utajifukuzisha mapema sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Madam km madam..jicho km la mtoto!!
🤣🤣SawasawaSingeli mbona poa tu
Enzi zetu iliitwa mnanda wahenga watanielewa![]()
Asante aunt nimemiss kaselfie kako

Amina mtumishiIkawe siku njema kwetu sote,na wiki yenye mafanikio.
Hebu tuongee kuhusu vocha kwanza

Nakusalimu jamaaHujali kutunza privacy zako au taarifa zako kupatikana ? Ujue unaweza kutumika kama third party hata kama unahisi unachofanya hakina shida