Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena bora umenikumusha shanga nataka kufumua hili wiving la kibibi sijui nisuke nywele gani Saint Anne cocastic mnisaidie nywele nzuri zitakazinipendeza Saivi nywele zangu zimekatika mbele balaa
Suka za mkono kukuza nywele zilizokatika.
Au na wewe huwezi kutoka na nywele za mkono madame?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December.

Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani,
Mungu akasema wee kucha nakunyima.

Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.
Nov??
Aiseee hizo zimedumaa au?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom