Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh sawaZa kuachia kama rasta crochet hapana !! Nywele Zangu sijaweka sawa lakini!!
Ooh sawaZa kuachia kama rasta crochet hapana !! Nywele Zangu sijaweka sawa lakini!!
wiving ndio nimefumua shangazi niliacha Walau wiki 2 ndio nimefumua juzi sasa walivosuka za ndani alisuka kama anakimbizwa nywele kibao zilibaki hazijashikwa!!Hivi hukulifumua kipindi kile?
Weave ziko nyingi inategemea wewe unapenda staili ipi
Ila kwa kazi yako ningeshauri uweke nywele fupi
Nywele zinakua balaa hongera nduguNimebana kimchongoView attachment 2259146View attachment 2259147
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
twende dubai shangazi tukacheze jangwani 😄😄😄😄Kiutani utani Christmas zipo mgongoni...
👋👋😍wiving ndio nimefumua shangazi niliacha Walau wiki 2 ndio nimefumua juzi sasa walivosuka za ndani alisuka kama anakimbizwa nywele kibao zilibaki hazijashikwa!!
Tuone hizo nywelewiving ndio nimefumua shangazi niliacha Walau wiki 2 ndio nimefumua juzi sasa walivosuka za ndani alisuka kama anakimbizwa nywele kibao zilibaki hazijashikwa!!

Tuone hizo nywele![]()
Lol hizo za juu kumbe ni weaving pia shangazi??? Hako kafupi ka mwisho nimekaelewa kinoma shangazi asante[mention]Antonnia [/mention] View attachment 2259317
View attachment 2259318
View attachment 2259319
twende dubai shangazi tukacheze jangwani![]()



mjomba hunitakii mema nitafunikwa na mchanga na msione tena...marahabaaaaaa mjomba!! Mie Sijambo mjombaa habari za wewe!😘😉
Marahabaaaa tooooo... Mungu ni mwema shangazi yangu . kumekucha.. familia inaendeleajemarahabaaaaaa mjomba!! Mie Sijambo mjombaa habari za wewe!😘😉
Lol hizo za juu kumbe ni weaving pia shangazi??? Hako kafupi ka mwisho nimekaelewa kinoma shangazi asante
😄😄😄😄 na hivi unafanana na mchanga basi na sie tutahisi umetangulia kurudi tanzania ...mjomba hunitakii mema nitafunikwa na mchanga na msione tena...
na hivi unafanana na mchanga basi na sie tutahisi umetangulia kurudi tanzania ...


InaendeleaMarahabaaaa tooooo... Mungu ni mwema shangazi yangu . kumekucha.. familia inaendeleaje
Inaendelea vizuri mjomba I hope nawe uko njema sana mjomba wangu!Marahabaaaa tooooo... Mungu ni mwema shangazi yangu . kumekucha.. familia inaendeleaje
Asante shangazi ubarikiwe!Hizo ni wig ila unapata weaving zake
Sasa wewe unanunua weave unashonea hizo fupi fupi tena asibakishe nywele ili ziendelee kukua vizuri
Nipo Shangazi, usingizi tu hapa nataka nikae mkao wa kulala kwanzaa 😄😄Inaendelea
Inaendelea vizuri mjomba I hope nawe uko njema sana mjomba wangu!
Nipo Shangazi, usingizi tu hapa nataka nikae mkao wa kulala kwanzaa 😄😄
,😄😄😄 shangazi nipo na boxer tu, nikiamka badae nitarushia kidogoSawa mjomba Usiku mwema mjombaa!! Kabla hujalala Selfika kidogo basi anko!!