cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Usipake kucha nzima, haiwi na show nzuri, paka nusu kuchaa bhana.Hapana shangazi ni Og hizo!
Kama hapa zile nilizikata hii nimepaka tena juzi jmos! zikianza kukua ndio zinakua kama zile!
Usipake kucha nzima, haiwi na show nzuri, paka nusu kuchaa bhana.Hapana shangazi ni Og hizo!
Kama hapa zile nilizikata hii nimepaka tena juzi jmos! zikianza kukua ndio zinakua kama zile!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie yaan nkaona nipake tyuuh henna kwa tattoozz.Asante shos umebamba hatareeee!!
Ahadi yangu Bella😂Yaani sana huwaga nazitamani kweli...
Hapana shangazi ni Og hizo!
Kama hapa zile nilizikata hii nimepaka tena juzi jmos! zikianza kukua ndio zinakua kama zile!
Bongo hapa shida tu [emoji23]Og ni zipi sasa?
Asante shangazi 🙏Kucha zako nzuri sana wala huitaji kubandika
[emoji7][emoji7]
Ahadi yangu Bella[emoji23]
Umependeza shos!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie yaan nkaona nipake tyuuh henna kwa tattoozz.
Bongo hapa shida tu [emoji23]
Ya bei kidogo nahisi ndo nzuri tofauti na hiyo ya buku jero .
Nilipaka continuous hiyo ya 1500 baada ya muda kucha inaharibika fulani hivi....Hata hivyo inategemea na salooni unayoenda kupaka hiyo henna , sio hizi za uchochoroni [emoji23][emoji23]
Au unaweza kwenda hawa henna artist kabisa kwa huduma nzuri zaidi
Ngoja wataalamu waje kutupa info zaidi
Mbona hatuitani kugawana dhambi Bella?😆😆😆Ipi tena mjomba?
Kama nilikuhaidi kitu jana usiku ujue nilishakunywa mkojo wa shetani[emoji2][emoji2]
Naomba nikumbushe
Kucha Ikiwa inakua Inapendeza shos kama hapo nilianza kwa kujaza kucha nzimaUsipake kucha nzima, haiwi na show nzuri, paka nusu kuchaa bhana.
👍 👍Hapana shangazi ni Og hizo!
Kama hapa zile nilizikata hii nimepaka tena juzi jmos! zikianza kukua ndio zinakua kama zile!
Mbona hatuitani kugawana dhambi Bella?[emoji38][emoji38][emoji38]
Unaenda zile saloon kubwa, pale ndo uhakika, wa bara baran ni miyeyusho tyuuh.Bongo hapa shida tu [emoji23]
Ya bei kidogo nahisi ndo nzuri tofauti na hiyo ya buku jero .
Nilipaka continuous hiyo ya 1500 baada ya muda kucha inaharibika fulani hivi....Hata hivyo inategemea na salooni unayoenda kupaka hiyo henna , sio hizi za uchochoroni [emoji23][emoji23]
Au unaweza kwenda hawa henna artist kabisa kwa huduma nzuri zaidi
Ngoja wataalamu waje kutupa info zaidi
Shouzzz una vidole vizuri, ila usipake kucha nzima, paka nusu kidoleeUmependeza shos!!
Mkojo upi unapendelea wa Ulaya au wa Bongo?[emoji23][emoji23]
Nitakuita mjomba usijali
Mkojo upi unapendelea wa Ulaya au wa Bongo?
SahihiUnaenda zile saloon kubwa, pale ndo uhakika, wa bara baran ni miyeyusho tyuuh.
Mie ndo nimenyimwa kucha mwenzenu, nataman sana kulipuka tatizo sijajaliwa, nilijaribu kipindi fulaan mmmh nkaona niache tyuuuh.Kucha Ikiwa inakua Inapendeza shos kama hapo nilianza kwa kujaza kucha nzima
Asante shos!!Shouzzz una vidole vizuri, ila usipake kucha nzima, paka nusu kidolee