Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Nipo
Kuna baridi sana huku
Ila mida natokelezea kama hivi
Pamoja sana Shangazi Mzuri
Pole sana mjomba
Nipo
Kuna baridi sana huku
Ila mida natokelezea kama hivi
Pamoja sana Shangazi Mzuri
Sema weww kiazi!! Nikisema mie muogo.......!!Shangazi wewe
Ni mbichi kabisa
Bado unatafunika na chumvi
Shangazi wewe
Ni mbichi kabisa
Bado unatafunika na chumvi




Uzee gani na weweThobotoooooooooo!! mzee nipo hapa makuzoom tu shangazi unaejiita mzee!
Sema weww kiazi!! Nikisema mie muogo.......!!
Kamera zinatusevu sana kwakweli! ishukuriwe teknologia tu Ssebbo;😉Uzee gani na wewe
Wewe ni li zuri
Au bhas
Mida yetu ileeSelfika kidogo Ssebbo tumemiss selfii yako mkuu!!
Sema weww kiazi!! Nikisema mie muogo.......!!
Natafuta rhhumba nimeielewa sana!!





shouga angu uko serious? Rhumba usawa huu? Ewaaaaaaaahh!! Hapo umenena vyema shangazi!! Haya Nibariki kabla sijaenda kula chako shangazi na Wigelekelo nifanyieni wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Basi wote vijana wa zamani...
Hamna mzee
Shangazi mbna umefuta natak nione nikasuke nimvuruge ankowakoHizo ni wig ila unapata weaving zake
Sasa wewe unanunua weave unashonea hizo fupi fupi tena asibakishe nywele ili ziendelee kukua vizuri

Unajua nn bina, tatizo n kichwa na msusi pia.
Hina rudia hata mara mbili ikolee then super Black afu weka colouless wee zinang'aa vizuri mnoooo!!Hivi kucha zako ile unaweka ni hina au rangi?
Nazipenda kweli
Fluffy nailewa na Jah locsYa kwanza Cinderella kama extension fulani hivi
Ya pili fluffy kinky nzuri sana hii zinakaa muda mrefu
Soft locs hiyo tatu
View attachment 2259326View attachment 2259327View attachment 2259328

Shangazi mbna umefuta natak nione nikasuke nimvuruge ankowako![]()
Achanana matali😍😍Nimebana kimchongoView attachment 2259146View attachment 2259147
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mbweni ZanzibarL
Location please?
Ni ya kizamani kwani?? Najulia wapi mie 🤔🤔🤔🤔🤔 basi nitaangalia japo nimeipenda mnoo!!shouga angu uko serious? Rhumba usawa huu?
Hapana sikushauri.
Hahah Ila madamNdiwo ndiwoooooooooo!!!
Santo sana
Sawa Ssebbo badae usiniangushe sasa!Mida yetu ilee