Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
watu wakubwa wana kula maisha 😄😄😄Kapendeza na ni mrembo
watu wakubwa wana kula maisha 😄😄😄Kapendeza na ni mrembo
au nitupie na ya boxer 😄😄😄😉Kha mjomba acha makusudi basii!
Sawa badae mjomba usiache kunitag
au nitupie na ya boxer [emoji1][emoji1][emoji1][emoji6]
Hapa tu nakuaminia dear!!Weaving eeh kma extension fulani hivi
Ona hii style ya nyuma lakini nzuri mno inaitwa rhumba View attachment 2259342
Ah nzuri sana hiiAwwwwwwwwwww hii nimeipenda zaidi Najua itanipendeza pia!! Asante mamy ngoja nikatafute kama nitaipata!!
shukrani sana
Hapana mjomba lala kwanza badae ukiamka ukavaa utatuma mjomba 🤔🤔🤔!!au nitupie na ya boxer 😄😄😄😉
😄😄😄 basi acha niache Shangazi zanguHatutaki laana mjomba hebu tuache[emoji2096][emoji2096]
Ah kumbe hazifai hivyoExtension mimi naona zinakata nywele
Hii itanifaa kabisa siku nikifulia aaarrfhh naosha tu narudiaaa!!Ah nzuri sana hii
Hakika utapendeza ni tamu aisee halafu uchague ya rangi nyekundu aisee maaana rangi unayo tayari .
Utapendeza pia waweza irudia tenaa baada ya kufumua .
au nitupie na ya boxer 😄😄😄😉
Ah AsanteHapa tu nakuaminia dear!!
Weee uko vizure mamy!!Ah Asante
Mshambenga tu mimi 😂
Yaani naona mjomba kavurugwa vibaya kha!Hatutaki laana mjomba hebu tuache[emoji2096][emoji2096]
Ah ndo uzuri wa nywele hizo kwa kweli .Hii itanifaa kabisa siku nikifulia aaarrfhh naosha tu narudiaaa!!
😄😄😄 mimaa raha yake acha tu inakulea kama mtotoWee mjomba ile mimama ulosema ulikua nayo jana imekuchashusha akili mjomba!
Asante MadamWeee uko vizure mamy!!
mbona mtoto walai mjomba wewe🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hahaha!!😄😄😄 mimaa raha yake acha tu inakulea kama mtoto
😄😄😄😄 wamama na mashangazi ndipo upendo ulipo lala.. hivi vitoto vijizi jizi sana 😄😄😄mbona mtoto walai mjomba wewe🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hahaha!!
Suka za uzi tyuuh mwayaaa, ili kukuza na kuzuia zisikatikeTena bora umenikumusha shanga nataka kufumua hili wiving la kibibi sijui nisuke nywele gani Saint Anne cocastic mnisaidie nywele nzuri zitakazinipendeza Saivi nywele zangu zimekatika mbele balaa
Wee vitoto ndio vitamu bana mjombaa acha zakoo!!😄😄😄😄 wamama na mashangazi ndipo upendo ulipo lala.. hivi vitoto vijizi jizi sana 😄😄😄