Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Mida mida najichetua tu shangazi wananizeesha mie kha!!
Pole mwaya
Weka tu staili za kawaida ila upendeze uzee tupa kule...
Mida mida najichetua tu shangazi wananizeesha mie kha!!
Huku shamba hta hivo huwa navaa ushungi dearKazini hii utakua comfortable kweli mwalimu mwenzangu !!Au nyie wa Mjini huko mko free sana!!??[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23]Kabisaa maana akikuwahi umekwishaa
Na ndio dawa yao kwanza..[emoji2][emoji2]
Ya pili nzuri kweliHiyo ya 2 imekaa ki madame haswaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Yani balaa tupu mdogo Wangu!!Huku shamba hta hivo huwa navaa ushungi dear
Haya dear .Kabisa tena naenda kwa anaejua kusuka Saivi!
Anh nzuriNimeipenda suits tyuuh.
Haya dear .
Utatuonyesha kaphoto utakavyodamshi
Ah nzuri sanaFluffy nailewa na Jah locs [emoji7]
Hahaha coca mimi mwenyewe natamani rhumba kinouma .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouga angu uko serious? Rhumba usawa huu?
Hapana sikushauri.
[emoji23][emoji23]si useme warudie[emoji23][emoji23]Humu bila kumwaga vocha siku hizi ni nadra sana kuotea selfie za watu
Utapendeza nayo dearNataka nikasuke hii
Sema sura hii na manywele haya sijui[emoji2]View attachment 2259385
Kucha nzuri [emoji7]Strawbella shangazi yani mie hizi ndio mambo zangu Napenda! Sipendelei rangi kabisa!View attachment 2259397View attachment 2259398View attachment 2259399
Asante mamy!Kucha nzuri [emoji7]
Hapana rhumba usisuke. Sikushauri hata.Ni ya kizamani kwani?? Najulia wapi mie [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] basi nitaangalia japo nimeipenda mnoo!!
Haswaaaaah nenda sehemu ambayo msusi ni mjuzi na anajua kuweka vitu. Utatisha mnooo.Ndio shos kama umejua vile!! Ila nitaenda kusuka sehemu ambayo wanajua na kuna hizo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yan aunt ukipata nafasi ya kumvuruga mtot wa mtu wew mvuruge tu hakuna kumpumzisha Hadi avurugike[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah, ko msuke twende kilioni?Huku wanatuambia tutavuruga wanafunzi ni unafundisha yeye anakodolea tu nywele!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!!
Sanaaaaaaah.Ya pili nzuri kweli
Ukipata msusi mzuri hapo unatokelezea