Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Asante shangazi ubarikiwe!
Amina
Asante shangazi ubarikiwe!
Wa mikato hii[mention]Antonnia [/mention] View attachment 2259323
View attachment 2259324
Hizi ni nzuri sana ukipata anaejua kukata utapendeza sana weaving zake zipo uliza wasusi wanajua
Ya kwanza Cinderella kama extension fulani hiviZa kuachia kama rasta crochet hapana !! Nywele Zangu sijaweka sawa lakini!!
Wa mikato hiiView attachment 2259329
Ya kwanza Cinderella kama extension fulani hivi
Ya pili fluffy kinky nzuri sana hii zinakaa muda mrefu
Soft locs hiyo tatu
View attachment 2259326View attachment 2259327View attachment 2259328
Asante kipenzi!Hio ya kwanza ni weaving??Ya kwanza Cinderella kama extension fulani hivi
Ya pili fluffy kinky nzuri sana hii zinakaa muda mrefu
Soft locs hiyo tatu
View attachment 2259326View attachment 2259327View attachment 2259328
Na rangi plus kasura kake amependeza kweli!!Wa mikato hiiView attachment 2259329
😄😄😄😄 kichwa kikiwa mtihaniKichwa kikiwa kizuri unapendeza(vichwa vya kimasai)
Yeah zimekatika sanaYa pili inamfaa
Anasema nywele zake zimekatika mbele sidhani kama ni sawa kusuka rasta
Sema crotchet hupendi tuZa kuachia kama rasta crochet hapana !! Nywele Zangu sijaweka sawa lakini!!
Yah pili nzuri sanaYa pili inamfaa
Anasema nywele zake zimekatika mbele sidhani kama ni sawa kusuka rasta
😄😄😄 huwa nikiwa dar es salaam kila siku lazima niende ofisini kwake nimuone tu huyu mdada.. huwa ananikosha sanaaa.. kapole kacheshi kana mitindo safii kabisanNa rangi plus kasura kake amependeza kweli!!
Awwwwwwwwwww hii nimeipenda zaidi Najua itanipendeza pia!! Asante mamy ngoja nikatafute kama nitaipata!!
😄😄😄 huwa nikiwa dar es salaam kila siku lazima niende ofisini kwake nimuone tu huyu mdada.. huwa ananikosha sanaaa.. kapole kacheshi kana mitindo safii kabisanView attachment 2259339
Yah pili nzuri sana
Naikubali pia halfu zinapendeza balaa
Ah ndo shida hapo sasa .
Extension je ?
huwa nikiwa dar es salaam kila siku lazima niende ofisini kwake nimuone tu huyu mdada.. huwa ananikosha sanaaa.. kapole kacheshi kana mitindo safii kabisanView attachment 2259339
Tunaona kwa macho tu mjomba kula hatuliii.. Big boy noma sana ona kalivyotulia.. nikifika dar nika report kazini kwake nimuone tu roho ifurahiAmependeza sana mjombaa mambo yako hatare sana mjomba!!
Weaving eeh kma extension fulani hiviAsante kipenzi!Hio ya kwanza ni weaving??
Kha mjomba acha makusudi basii!,😄😄😄 shangazi nipo na boxer tu, nikiamka badae nitarushia kidogo