Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie maneno siwezi wakifika kwenye ngumi waniite niwatandike za mashoto na vichwa vyakutosha kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2246035
Watu washushe selfie kama hivi wakuu, tuone mema na neema za mnyaaz! Madam uko vizuri..

Atakayeharibu huu uzi nileteeni nimchape makofi matano ya makalio..
 
Strawbella
58B10397-784B-410B-BC3F-0F67364AC2E5.png
 
Umalizie wapi wakati uko busy na ubuyu wa huku[emoji23][emoji23][emoji23]

Kale kaPm tatizo akili hana[emoji23][emoji23]
Cha kumsaidia ni atafute tu kazi ya kumkeep busy ndio aache kutumika na kutegemea mwili ili atimize mahitaji yake.

Ila ulikajibu kisomi, big up kwa hilo babe[emoji108][emoji8]
@Lenie

Kanachaji how much

Kwa mzunguko

Niwekemo bhas
 
Back
Top Bottom