Zimetoka leo nadhan sijui dogo kaangalizia wapi ila mwambie aingie google atafute anaweza akaonaWee hizo za kwenda jeshi zimeshatoka kuna Mtoto wa sister angu anashangaa tu hata haelewi chochote!!
Umeangalia wapi ??
😁😁😁😁 acha ile kituu mmhumeanza
😃😃 usijalibasi nichukulie maziwa ya unga ya kulamba 😅
Weeeee sitaki, huko nishakwambia ni kwangu 🤣🤣🤣Leo nawai ukutani mie😍😍😍
Duh nilishapitwa.
Wee twende tukale huko huko hakuna vya kubeba😄Unichukulie na yangu
😅😅😅 nitakutekenya hadi unipisheWeeeee sitaki, huko nishakwambia ni kwangu 🤣🤣🤣
Utanikuta nishakaa kitambooo
Eeeh dogo kaniambia sister post za jkt zimetokaHivi kwenda jeshi after six kuna umuhimu gani?
Na ukipotezea kuna hasara gani?
Haka katoto ketu hapa kamegoma kabisa aisee..
Wakishuaaaaa 🔥
cocastic aje atupe habari za huko ndichi…Eeeh dogo kaniambia sister post za jkt zimetoka
Nikamuuliza umepangiwa wapi??
Kanijibu,sitaki hata kujua,maana sina mpango.
Na hakuna kwenda amalizie course apate cheti,
course yake aliyoiachaga msimu wa corona.
Risasi7 nimechekaHao ndio tulikubalia kuwa wanafaa kuwa wife....wale kama yule wa risasi saba ni wakukojolea na kuwaacha. So sambaza upendo
Sehemu unazopitia leo; zote za kunitamanisha.karibuni Heaven Sent Saint Anne mahondaw Kelsea Lenie Christine1 Depal Chakorii Wigelekelo spidernyoka mzabzab alicia keys Alayna Strawbella mawardat mama kijacho specail Nuzulati
Tinsley
wengine woote View attachment 2246092
njoo sasa hivi nipo mwenyewe 😅😅
Wote hapo mnahitaji kula ugali hevi wa Kisukuma kila siku jioni kwa miezi miwili mfululizo. Ila mmependeza sana watenda kazi shambani mwa Bwana![]()
kwakweli sshv naenda zangu mwanza,ugali na samaki ognime copy tayari nasubiri usiku niifanyie kaziwatu wanapita nahio namba hapo chini!!
Liding'ha lyaletale sana nesimelo bimelile sana eigolo nasekile no nkoiIzunaye
Mhola nhoi
Genhehe inding'ha li golo
Leghabela
Aghakindwa nhani
Ya Baghika na Baghalu
Wige km wigeChuchu ya kushoto
Chuchu konzi
Nimeilewa vibaya
Ni chuchu inayoshikilia milango yote ya utam
Jimbo liko wazi kweli![]()
