cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Mgambo pale kabuku, nimemiss machungwa, kule shamban bondeni, hahaha Doso sasa, uwiiiijNakuonaga mayai binti! Kumbe mpaka kwata umepiga.








Ah kumbeIle sjui ni wapi ila tulkua tunaenda mabio mpaka uvinza
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Why? My broda was there kabla hajalamba shavu la uamisho.Bulombora ndo ya makamanda nlirud kama babu wa 50
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Siku ya kukabizi combat, baada ya sherehe, usiku wake, yule afande aliniita kuniomba msamaha, tukapiga story, akawa ananieleza kuhusu maisha, mie ndo hata sielew nawaza home tyuuh.Pole kipenzi cha muhimu ulitoka mzima tu!
Yani kigoma unatoka umeivaAh kumbe
Nimeingia hapa Google nakuona nilichaguliwa Mtabila huko Kigoma bora sikuenda aisee![]()
Pogba au?Why? My broda was there kabla hajalamba shavu la uamisho.
Alikuwa tu kawaida, tena bonge la tozi.
Unanikumbuka lakini mi ndiye niliyekupokea siku yako ya Kwanza kureport pale sheli ya kabuku.Mgambo pale kabuku, nimemiss machungwa, kule shamban bondeni, hahaha Doso sasa, uwiiiij![]()







wakati nikiwa jeshini, kuna afande alikua ananiita mzungu pori, woiiiiihYah nilifurahi kutoenda, ilikuwa tayari November tupo chuo ndo selection ikatoka .
Uongo tyuuuh.Unanikumbuka lakini mi ndiye niliyekupokea siku yako ya Kwanza kureport pale sheli ya kabuku.








Ila ungeenda zako ruvu pia wanapokea unawambia skua na nauliYah nilifurahi kutoenda, ilikuwa tayari November tupo chuo ndo selection ikatoka .
Yeah miaka yetu hatukupita uko.Bora miaka yetu haikuwepo hata!!
Ahsanteeeeh.Ooh pole sana
Bulombora ndo unit mama za jkt ikifuata na rwamkoma so wanatakaga kua wa demo kwenye kila issueWhy? My broda was there kabla hajalamba shavu la uamisho.
Alikuwa tu kawaida, tena bonge la tozi.
Nilikuwa nimeanza chuo tayariIla ungeenda zako ruvu pia wanapokea unawambia skua na nauli
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Ushasahau? Likaja likalandinga mida ya jioni tukawasokomeza mpaka wote mkaeneaUongo tyuuuh.![]()
Hehehe
Kuna private mmoja alkua bishoo sana wanamuita pogba alkua mweusi mrefu ndo alkua tozi unit nzimaHehehe
Sijui mie..
Hakuwa wa mujibu..
alipangiwa hapo baada ya kumaliza kozi..
Amefanya hapo weee
Mpaka alipoenda mission..
Baadaeee ndio akatoka huko