Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante Nkamu.

Hapana haijahamishiwa sema nipo huku mpaka mwezi wa 6 mwishoni tutakua tushamaliza kilichotuleta.

Vyombo vinanisamehe Nkamu sioshi nisidanganye nimeosha sana utotoni acha now nipumzike

Mwanamke kuingia jikoni lazima, yes hua nasonga.

Nguo nafua maana sipendi kufuliwa hata za Mzee nafua nikiwepo Dar.
Waifu matirio 100%
 
Watanionaje nikiachika??

Na sisi Waafrika mwanamke akiachika; tunavyom-frustrate kwa masimango; kama hana roho ngumu anaweza kujinyonga. Akivumilia hadi akafia ndoa, tunaanza tena kumlaumu. Mtu usipoijua thamani yako; jamii itakupelekesha na kukuua in the name of pleasing it
Na hawa abusers wana mbinu nyingi. They are very good manipulators. Wakikwama huko kwenye game za kisaikolojia wanatumia intimidation. They are sociopaths who can't let go. Pure narcissists!

Ni bahati mbaya sana kwamba mtumishi huyu wa Mungu aliingia kwenye anga za mtu kama huyu. Kujinasua huwa ni ngumu sana kwa sababu hata kama angeondoka jamaa lingeweza kumfuata tu.
 
eeeeh wee mie nna swaggz za mambeleee, yaan ni mzungu haswaaah. Hata maisha yangu ya kizungu sana hasa ki falsafa
Unafuata mkondo upi wa kifalsafa?

Ni mwanafalsafa yupi unamkubali sana?

Halafu nimeona mahali una ligi. Mtu kajaribu kukupanda kichwani ikashindikana. Yaani we mjukuu dah!
 
EC460241-7059-4B2E-9DE0-2FB5BC87878C.jpeg
 
Back
Top Bottom