Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! [emoji1787][emoji1787] Usikubali mkuu lipiza aisee [emoji23] amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu [emoji20]
Wee msomali ntakurudisha kwenu Mogandishu huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu amani inatawala, ivi una kibali cha kuishi hapa nchini??
 
Umelitafuta mwenyewe kaa kwa kutulia.
Kichaka kikiwaka moto niite😆
🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣!!!! Una mwili wa kupigana lakini mkuu!! Ni tutapewa zauso kuanzia mababu wa mabibi zetu hadi vilembwe na vitukuu vyetu!!😉
 
Ila mkuu una roho ya kipekee sana sio mwepesi wa hasira ila cku nyingine kwa maoni yangu Usikubali kabisa mkuu!
Poker una umri gani?😆😆😆
Kwa maisha halisi huwa sikurupuki.
Lakin
Lakini yakinifika ukimbie upesi.
Hili ni dogo sana mkuu.
Nikitokwa povu nitakuwa mshamba sana sana.
Na isitoshe jamaa sio kawaida yake ku react kivile.
 
Back
Top Bottom