Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo itakuwa umeonja
Sijaonja kabisa mpendwa. Na nina muda mrefu kweli sijaonja. Niko tu nakata majani hapa sema kuna jua hatari.

Kwa nini umesema hivyo mpendwa?
20220529_181453.jpg
 
Safiri salama nkamu.

Ofisi yako ilihamishiwa Dodoma pia ama?

Pole!

Ila huo mkono sasa. Lainiii mpaka basi. Unaweza kweli kuosha vyombo huo mkono? Kusonga ugali je? Kufua vinguo vya mzee?

Asante Nkamu.

Hapana haijahamishiwa sema nipo huku mpaka mwezi wa 6 mwishoni tutakua tushamaliza kilichotuleta.

Vyombo vinanisamehe Nkamu sioshi nisidanganye nimeosha sana utotoni acha now nipumzike

Mwanamke kuingia jikoni lazima, yes hua nasonga.

Nguo nafua maana sipendi kufuliwa hata za Mzee nafua nikiwepo Dar.
 
 
Back
Top Bottom