Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Nani tena jmn!Unaye yule nanii
Au kuna MTU kanielewa hukoo[emoji23]jimbo liko wazi asisite
Nani tena jmn!Unaye yule nanii
[emoji23][emoji23]nimecheka,sophy[emoji119]Kilamtu awe natako si mtavunja shingo kugeukia ndo maana tukawepo sie mnapat mda wa kupumzika [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]sura personal khaaaaKuna steji na umri fulani katika maisha ukifikia yaani wala hujali who is swimming with you in the swimming pool as long as you are also swimming...
Uoe pisi kali hizi slei kwini hizi halafu utegemee ku-swim peke yako? We ulisikia wapi?
Ndo maana watu wanazipiga wee halafu wakitaka kutulia wanakwenda kuoa pisi zenye sura na maumbo personal wanatulia tulii na kula mema ya dunia bila bughudha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndo nishawekaMbna kupo kmya humu ndani? Mkuje bhana muweke picha zenu.
Sio sana[emoji16]Jinga kabisa [emoji23][emoji23]
Itakuwa unaundugu na mzabzab
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nije Ila ikifika miezi ya sikukuu tuna achana [emoji85][emoji85]Nani tena jmn!
Au kuna MTU kanielewa hukoo[emoji23]jimbo liko wazi asisite
Imenipita Binti Abiudi jamani dah!Ndo nishaweka
Ukichelewa huikuti
Hili jimbo bado halijapata mgombea? [emoji15]Nani tena jmn!
Au kuna MTU kanielewa hukoo[emoji23]jimbo liko wazi asisite
Unaonekana tu mtundu ww mtoto [emoji23][emoji23]Nipo nimejaa tele [emoji23]
Habari ya huko
Why umeniita cha utundu ?
Embu piga self tuoneKama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet
Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days
Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy
Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,,
Any volunteers for science??
Kama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet
Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days
Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy
Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,,
Any volunteers for science??
Hujaziona huko juu[emoji848]Embu piga self tuone
Niki selfika tu naachwa nitaselfika kesho [emoji41]Nipo mdogo wangu!! Selfika basi
I kilogram per week and forOh nimetamani aisee
Napunguza kilo ngapi baada ya hiyo fasting ?
wananiojua wanasema mpole mimi except wachache wanaonijua vyemaUnaonekana tu mtundu ww mtoto [emoji23][emoji23]