Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Poker una umri gani?😆😆😆
Kwa maisha halisi huwa sikurupuki.
Lakin
Lakini yakinifika ukimbie upesi.
Hili ni dogo sana mkuu.
Nikitokwa povu nitakuwa mshamba sana sana.
Na isitoshe jamaa sio kawaida yake ku react kivile.
Mimi sikuona kosa lako kwa kweli tena we ni humble sana ulikuwa unafanya utani tuu! Naonaga hata comments zako hunaga shida na mtu embu mtag tena ajue humwogopi! 🤣🤣
 
Ila nae Mtumishi wa Mungu alikuwa mjinga mjinga, kaonywa mala nyingi akae mbali na mwanaume.. basi sikuo la kufa halisikii dawa kwa asilimia kubwa angekuwa hai kama angesikia mashauri ya wenye hekima
Watanionaje nikiachika??

Na sisi Waafrika mwanamke akiachika; tunavyom-frustrate kwa masimango; kama hana roho ngumu anaweza kujinyonga. Akivumilia hadi akafia ndoa, tunaanza tena kumlaumu. Mtu usipoijua thamani yako; jamii itakupelekesha na kukuua in the name of pleasing it
 
Mimi sikuona kosa lako kwa kweli tena we ni humble sana ulikuwa unafanya utani tuu! Naonaga hata comments zako hunaga shida na mtu embu mtag tena ajue humwogopi! 🤣🤣
Phaller wewe nitakubebea panga nikufukuze humu😂😂😂😂
 
Watanionaje nikiachika??

Na sisi Waafrika mwanamke akiachika; tunavyom-frustrate kwa masimango; kama hana roho ngumu anaweza kujinyonga. Akivumilia hadi akafia ndoa, tunaanza tena kumlaumu. Mtu usipoijua thamani yako; jamii itakupelekesha na kukuua in the name of pleasing it
Yule mama ni sababu ya kifo chake mwenyewe, na ni sababu ya kutosikia mashauri ya wakubwa na wenye hekima alifanya shingo yake kuwa ngumu, sehemu kubwa ya jamii iliyokuwa imezunguka hadi some pastors walimshauri alikuwa na sehemu kubwa ya kupata faraja kwasababu ukweli ulikuwa unajulikana hata kama watu wangekuwa wanaongea alikuwa na mahala kujifichia

Alafu ishi kutokana na thamani yako, thamani yako na uhai wako usiwe guided na walimwengu na maneno yao. Kafa kapata nini, watoto wanabaki wakiwaa.. Ukondoo mwingi ni hasara
 
Watanionaje nikiachika??

Na sisi Waafrika mwanamke akiachika; tunavyom-frustrate kwa masimango; kama hana roho ngumu anaweza kujinyonga. Akivumilia hadi akafia ndoa, tunaanza tena kumlaumu. Mtu usipoijua thamani yako; jamii itakupelekesha na kukuua in the name of pleasing it
Kila siku huwa watu nawaambia, usiishi kwa kuwafurahisha watu wa nje, ishi ktk uhalisia wako na lililo ktk nafas yako kwa wakati husika.

Haya maisha ya watu watanionaje, nilishakataa na haitokuja kutokea kwangu.
 
Back
Top Bottom