Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Father to the fatherless.....
Acha uchochezi poker !!! Itakua Unapenda ligi mkuu selfika ni utu na utulivu hizo ligi tuwaachie makapu!!We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🤣🤣 Usikubali mkuu lipiza aisee 😂 amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞
Hahaha hayo ya kuchocheana tumewaachia wavulana mkuu...povu langu huwa halitoka hovyo nikiamua kutoa povua huwa nakuoatia na sabuni kabisa ya kufulia mwezi.We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🤣🤣 Usikubali mkuu lipiza aisee 😂 amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞
hii mbuzi wangeileta nikaikata kichwa kwa mkono wangu nikaipika nikawapa wuuu wuuu wakala nyamaaa 😡😡😡Father of the fatherless.....View attachment 2244309View attachment 2244310
🤣🤣🤣🤣🤣eti MakapukuAcha uchochezi poker !!! Itakua Unapenda ligi mkuu selfika utu na utulivu hizo ligi tuwaachie makapuku!!
Haya tulieni hivohivo mlivo napita naked kabisa!!
Nimesema tulieni hivohivo hamjasikia lakini???😉Hahaha hayo ya kuchocheana tumewaachia wavulana mkuu...povu langu huwa halitoka hovyo nikiamua kutoa povua huwa nakuoatia na sabuni kabisa ya kufulia mwezi.
So usitegemee nikurupuke kutoa povu hovyo😂
Pia uelewe kuwa siku hazifanani unaweza kumtania mtu kwa uzuri kumbe ana hasira alipotoka ukaishia kupigwa jiwe😆😆
MsomaliiiiiPicha hiyo umeona vibaya!
Hebu changanya malapa pita hiivii🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️😆Unaitikia " Selfii ziendelee"🤣🤣🤣😉
Nani kasema mkuu usintafutie balaa lako ujue!!🤣🤣🤣🤣🤣eti Makapuku
Sitokiiiiii !! Hatoki mtu hapa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇😉Hebu changanya malapa pita hiivii🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️😆
Umelitafuta mwenyewe kaa kwa kutulia.Nani kasema mkuu usintafutie balaa lako ujue!!
Hebu muwekeee huyu shouzz angu, naye aone.Situmi tena mahondaw maana nishaitwa msomali
Shouzzzzzz umemuona? Kaka m1 wa kwenda, half cast wa kisomali,
Jicho, udevu, lips, uchebe, kiduku juu. Woiiiiiiiih
Noumaaaaaa!!!!!
Ametupotezea Mtumishi wa Mungu. Imagine watoto wao wanapitia hali gani muda huu......hii mbuzi wangeileta nikaikata kichwa kwa mkono wangu nikaipika nikawapa wuuu wuuu wakala nyamaaa 😡😡😡
Mdogo wang upo jaman kitambo mnooo nmekumissSitokiiiiii !! Hatoki mtu hapa![]()
Ila mkuu una roho ya kipekee sana sio mwepesi wa hasira ila cku nyingine kwa maoni yangu Usikubali kabisa mkuu!Hahaha hayo ya kuchocheana tumewaachia wavulana mkuu...povu langu huwa halitoka hovyo nikiamua kutoa povua huwa nakuoatia na sabuni kabisa ya kufulia mwezi.
So usitegemee nikurupuke kutoa povu hovyo😂
Pia uelewe kuwa siku hazifanani unaweza kumtania mtu kwa uzuri kumbe ana hasira alipotoka ukaishia kupigwa jiwe😆😆
Chawa wangu vipi nikunyunyizie maji kidogo😁Shouzzzzzz umemuona? Kaka m1 wa kwenda, half cast wa kisomali,
Jicho, udevu, lips, uchebe, kiduku juu. Woiiiiiiiih
Noumaaaaaa!!!!!