cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Ndyo ndyooo Las Vegas kuleee.Hajaonaga pigo zako huyu! Wee
Bongo bahati mbaya ulitakiwa kuwa mambele huko!!





Ndyo ndyooo Las Vegas kuleee.Hajaonaga pigo zako huyu! Wee
Bongo bahati mbaya ulitakiwa kuwa mambele huko!!





Kabisa shos!!Ndyo ndyooo Las Vegas kuleee.![]()
Una mikwara inayotosha kufukuza nyani shambani🤪🤪Ndyo ndyooo Las Vegas kuleee.![]()
So sadBora uliokoa uhai wa aunt yako.
Usiombe uwe kwenye abusive marriage afu huna kipato. Ndugu wengine roho mbaya wanaona kama ukiachika utakuwa mzigo kwao financially; so hata ulalamikaje watakwambia tu uvumilie
Una mikwara inayotosha kufukuza nyani shambani![]()




eeeeh wee mie nna swaggz za mambeleee, yaan ni mzungu haswaaah. Hata maisha yangu ya kizungu sana hasa ki falsafaWeraaaaah weraaaah.Kabisa shos!!
Acha uchochezi poker !!! Itakua Unapenda ligi mkuu selfika ni utu na utulivu hizo ligi tuwaachie makapu!!
Haya tulieni hivohivo mlivo napita naked kabisa!!


Unasubiri Nini hiko wige???Nimesubiri mno
Bado nisubiri![]()
Na wanawake nao wakone kukubalia watu wa ajabu ajabu, kisa wana vibundaaa sie pangu pakavuu mtatupa vya mbavuuu 🥹🥹Msemage na nyie; tukisema sisi mafeminist.🤐🤐
Ulisema unapitaNini hiko???

Hahaha.. ulikua unapita kimya kimya kumbe✌️🤣🤣🤣!! Mie Hata sina jipya msukuma!!Ulisema unapita
Kama ulivyo
Dk 45 Zimeisha
Niendelee kungoja![]()
Nina usingizi kama woteHahaha.. ulikua unapita kimya kimya kumbe!! Mie Hata sina jipya msukuma!!
Haya usipepese hata kope niangalie angalie kama ipo baki hapohapo!!!Nina usingizi kama wote
Nimelala porini wiki nzima
Nachungulia nalala
Naamka kidogo
Nalala tena
Dk 20Haya usipepese hata kope niangalie angalie kama ipo baki hapohapo!!!
Hahaha... tatizo unasinzia sasa !!Dk 20
Zimepita
Nipo bado
DuhHahaha... tatizo unasinzia sasa !!
Wewe

Mweh kiazi mbatata tu mie!! Haya Usiku mwema mkuu ulale unono 🤣!!Wewe
Ni li zuri mno
Ngoja nisinzie kidogo
hahahaha.mnataka mpigane makonde humuMbona ni kawaida mnazipiga kiume ..mnajifuta na maisha yanasonga mbele😂😂
Au ulitaka na mimi nitoe povu? 😂😂