Mama mtumishi ninakusalimu kwa Jina lililo KuuWanyaki hatunaga jambo dogo. Fundi atulie haswaaa; huo mtoko ooooh 🤣🤣🤣.
Lazima iteteme, sina jambo dogo mie,
Ngoma naiweza haswaaa, sijapigiwa nacheza, nikipigiwa navua nguo kabisaa,
Coca km coca,![]()
Ndo ni furaha, ndoa ni amani , ndoa ni upendo ni goodtimes, ndoa sio kuvumulina na mambo yanayo hatarisha uhai, afya wala usalama wako..Yeah sure. At the end of the day Kila mtu yupo responsible na maisha yake. If you decide you throw it away; hakuna wa kukuzuia.
Niliongelea tu partly of what nimeki-experience na hawa victims wa domestic violence. Wengi ni kuwaza kwamba nitaonekanaje nikiachika? One of my aunts; watoto wake ilibidi wamuondoe kinguvu kwa baba yao, ndiyo ikawa salama yake. Alipofikia ni ilikuwa tunasubiri tu taarifa ya msiba kwa kipigo au presha.
Kuna clip nimeiona ya send off ya binti anawaambia wazazi wake wasije wakamtupa kwa sababu tu ameolewa. In the sense wazazi wengi hata mtoto akija kuwalalamikia/kuamua kurudi nyumbani juu ya abuse anayoipata kwenye ndoa; ataishia kuambiwa "vumilia mwanangu, ndoa ndiyo zilivyo, rudi tu kwa mumeo". Siku ya siku wanaletewa mtoto kwenye jeneza.
Msemage na nyie; tukisema sisi mafeminist.🤐🤐Ndo ni furaha, ndoa ni amani , ndoa ni upendo ni goodtimes, ndoa sio kuvumulina na mambo yanayo hatarisha uhai, afya wala usalama wako..
Had sambasoti najua kuruka, yule flatei wa bungeni anasubiri kwangu,Unamikwaaara.
Ngoja ujichanganye ukunjwe na ngumi juu![]()






Hatareeeeeeeh mama malezi.Wanyaki hatunaga jambo dogo. Fundi atulie haswaaa; huo mtoko ooooh.
Na Mimi naitikia katika jina ilnalozidi majina yoteMama mtumishi ninakusalimu kwa Jina lililo Kuu
Chizi weeKila mtu atakimbia ukivua![]()
Weraaaaah weraaaahNakuelewa shos nakuelewa![]()
Tena feni mbovu iliyokosa break,Weeeeeeeehhh shos angu yupo vizure hili nalitambua!! Kwa pozi sasa awwwwwwwwwww!!!Ukija kwenye mizagamuo mbona utakimbia mwenyewe!! Mauno feni ikasome mkuu!!






Hajaonaga pigo zako huyu! Weenini sasa nawee khaaah
Huuu upepo unajaza tairi la trekta😄Hajaonaga pigo zako huyu! Wee
Bongo bahati mbaya ulitakiwa kuwa mambele huko!!
Yaan mwenzio had leo najionea km hadith, miaka 11 watu hawaelewan, hawalali pa1, kila mtu na mipango yake, japo walikua wanaishi nyumba 1, eti wakitoka nje huku unaweza sema ndoa enyewe si hii, km ugomv bas n kidogo, kumbe boom n kubwaa,Bora uliokoa uhai wa aunt yako.
Usiombe uwe kwenye abusive marriage afu huna kipato. Ndugu wengine roho mbaya wanaona kama ukiachika utakuwa mzigo kwao financially; so hata ulalamikaje watakwambia tu uvumilie
Haya hebu selfika basi tunogeshe story mkuu !!Huuu upepo unajaza tairi la trekta😄