Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Mambo yanayoendelea kwenye nyumba ya jirani yetu yanashangaza sana, hata tanga halijesha wanampangia mjane mipaka ya shamba, lakini na yeye yafaa ajilaumu mwenyewe, aliambiwa kitalani kwamba ajiepushe na ndugu wa marehemu maana wengi wao ni wasaka tonge tu hawana msaada kwake wala familia hakusikiliza ushauri, mwache ayaone
Don Linace Candy Light Arianna Michael Baruth Zuberi Mzava
 
Mambo yanayoendelea kwenye nyumba ya jirani yetu yanashangaza sana, hata tanga halijesha wanampangia mjane mipaka ya shamba, lakini na yeye yafaa ajilaumu mwenyewe, aliambiwa kitalani kwamba ajiepushe na ndugu wa marehemu maana wengi wao ni wasaka tonge tu hawana msaada kwake wala familia hakusikiliza ushauri, mwache ayaone
Don Linace Candy Light Arianna Michael Baruth Zuberi Mzava
Njia alizotumia marehemu kumiliki shamba hazikua halali, ndugu wa marehemu na mjane wote wanalifahamu hilo. Hii tabia anayoonyeshwa mjane si kwa bahati mbaya.
 
Hakumuomba Mwanamke Msamaha Bali Mamlaka/Kiti.

Tatizo ni mikopo. Pesa zilikopwa akatibiwa. Kapona hataki zikopwe wengine nao watibiwe. Huko Kijani wagonjwa ni wengi bila mikopo watapukutika.

Screenshot_20220105-085019.png
 
... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!

Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!

Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Na mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa

Sasa tusubiri season 3...!
giphy.gif
Mswahili kupewa nchi ni Uswahili mtupu
 
Lakini pale haikuwapo hafla ya marafiki ilikuwa hafla ya kiserikali. Ni busara kumtambua Waziri mkuu kwa cheo chake na sio kwa jina lake hasa kwenye official events Kama ile. Ingekuwa Ni send off isingekuwa shida kumuita kwa jina kassim.
Faiza ni kiazi mbatata na anaumwa tumsamehe bure ... Shimba ni mtani wetu
 
Mashambulizi ya nini, kwani kufanya siasa hadi ushambulie mtu,,
Mbona Republican ni wapinzani marekani na hawafanyi hizi siasa za kihasama?.
Hakuna chama dunia hii kunafanya siasa za chuki kama cdm,,, tutawanyorosha

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Ndio kazi unayojua kunyorosha upinzani tu. Ukishanyorosha upinzani utafaidika na Nini?. Leo Bunge Ni la CCM asilimia 98 , halmashauri karibia zote ziko Chini ya CCM na asilimia 98 ya wenyeviti was mitaa na vijiji Ni wa CCM. Baadala uwaze kuleta maendeleo wewe maana vyombo vya maamuzi vyote umeshika wewe lakini Cha ajabu unawaza kuwanyoosha wapinzani. Ndio maana hata speaker was bunge akitoa maoni kuhusu hali ya kiuchumi mnamnyoosha kwani hamtaki alternative views.
 
Ndugai alitubu pasipokuwa na madhabahu! Badala ya kutoa ghofira, Samia ametangaza laana! Angenyamaza kimya, Samia angekuwa na maneno machache tena kwa tahadhari kuu! Sio kila toba ina maana kwa anayetubu! Toba za kinafiki hazipokelewi hata kwa chetezo ya Askofu! Kibo Kya Nnrondo!
FB_IMG_1641364977681.jpg
 
Back
Top Bottom