Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Kiukweli sijajua kamkosea nini ils ikiwa tatzo ni kusema ya mpito tu ndio umtaje mtu kwanjina lake sio poa kbsa inaonekana ni kama mtu anatqftiwa sababu ili watu waliokuqa karibu na mzee Magu wote waonekane wahovyo na waondoke
Siasa ngumu
 
Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??

Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa[emoji23]
Matapeli wa JF bhana [emoji16]
 
Ni siku ngumu kidogo kwa mh wa Dodoma, lakini kwa kiasi fulani naona madam kajishushia kwa namna fulani heshima uliodhaniwa ako nayo.
Hakuna kitu kizuri kama wangemalizana wenyewe kwa wenyewe bila umma kujua nini kilijiri.
Kosa kubwa la Ndugai ni kuomba msamahaa kutoka kwa Mwanamke, siku zote ukisha muomba msamahaa Mwanamke hata Kama ni Mke wako wa ndoa jua umekwisha, lazima atakudharau na kukusimanga kila wakati! Job angekomaa tu na ufafanuzi wa Mikopo hatarishi!!
 
Inasemekana kuwa wanaume wote ma Democrats na ma Republican waliungana (japo kwa chini chini) ili kuhakikisha kuwa Hillary Clinton hawi rais. Sasa nimeanza kuwaelewa!

Magreth Tatcher pale UK...
Bi Angel Markel pale Germany.
Grolia Aroyo pale ufilipino..
Park geun-hye pale South korea.

hayo ni mataifa makubwa x 1000 kuliko Tanzania
 
Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!

Hayo mashambulizi mbona hawakuyaelekeza kwa mwamba wa chato, tha late JPM..?.

Mbaya zaidi wakawa wanayakimbia maandamano waliotisha wenyewe kuanzia UKUTA na yake ya LISSU yasiyokuwa na kikomo baada ya uchaguzi...

Mnasahau baada tu ya uchaguzi jamaa mbio ubalozi wa Ujerumani...

Bila shaka mpaka march Serikali itakuwa imemhakikishia usalama wake....hahahaha
 
Ndugai mgogo hawa hawana aibu atakomaa hapo hapo pengine wampokonye kadi!!! Angekuwa MNYALU kwa kudhalilishwa namna hiyo na mwanamke angejitundika!!! Wenzie wangemwambia SWELA MUYAA!!
Waaache wapaluane huko watakuja kutoa hata siri zao za wizi mwisho wa movie
 
Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!
Sio ishu ndogo, Rais ana washauri, ana watu kila sehemu, Spika, Makamu wa rais,Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa nk hupewa ulinzi na SERIKALI. Hilo suala si bahati mbaya, ulinzi ule si kwamba umewakwa kwa ajili ya UHAI wao waidhuriwe na watu tu, bali pia KUJUA NIA YAO ni nini JUU YA RAIS.
Spika alikosea, yeye anajua mikopo yote ya serikali hata kipindi cha MAGUFULI, iweje ajitokeze kuzungumzia mkopo huu wa 1.3 T kwamba utauza NCHI?? Madhara ya kuropoka vile ni makubwa sana katika taifa kuliko kumuondoa SPIKA mwenyewe. Spika alikuwa na nafasi ya kukaa na Rais kushauriana juu ya Mikopo bila hata kuropoka vile.
Rais kakunyua makucha yake maana mhimili wake umetikiswa ikijulikana wazi hakuna Bajeti inapitishwa Bungeni bila kujua undani wake, na hata mikopo yote inajulikana.
NAPE alisema wazi BUNGE liweke wazi mikopo iliyochukuliwa na awamu ya 5, lkn spika akaizima hoja ile. Kwanini atokee tena hadharani kusema nchi itauzwa.
 
Mbona yule aliyeambiwa nonsense hakuachia ngazi ?
Professor, kutukanawa na kuendelea kubakia pale wizarani inasikitisha na kutia aibuu kuu katika wasomi na taasisi zetu zote za elimu!
Imagine, huyo Professor alimfundisha mtaalamu halafu leo aliyekufundisha anaambiwa yeye ni none-sense teeeh teeeh Professor none-sense kabisa!
Yusto aachie ngazi akamtembelee muke ya Jesus huko Galilaya na Betelehemu teeeeh teeeeh! Siasa , ni sayansi. Kweli utajua hujui kitu!
Hata Bibi , asijitutumue safari bado,ashushe mabega nchi kuendesha siyo kwa mihemuko bali umoja.
 
Kwa akili za Job zilivyo...

Hangaya ajikaze..wenziwe wanaa uzoefu ... ...
Humjui SAMIA wewe, ni MZOEFU KULIKO JOB NDUGAI. Yupo kamati kuu ya CCM tangu enzi za Mkapa, yeye ni mmoja waliompitisha KIKWETE na baadae MAGUFULI. Hayuko pale kwa bahati mbaya ana uzoefu na CCM pengine kuliko 90 ya wanaCCM wa leo.
Rais ni TAASISI, kabla ya kusema vile alipekewa taarifa zote kwa usahihi wake. Alichofanya ni kuonesha URAIS ni nini, haijalishi jinsia yake.
 
Back
Top Bottom