Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??

Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa
Hahaha! It's like cocking a gun.....it was obvious she was going for the kill.
 
Ndugai mgogo hawa hawana aibu atakomaa hapo hapo pengine wampokonye kadi!!! Angekuwa MNYALU kwa kudhalilishwa namna hiyo na mwanamke angejitundika!!! Wenzie wangemwambia SWELA MUYAA!!
Hangaya kamwaga petiroli kwenye kichaka. Anafahamu Makada wa Kijani wana viberiti. Anasubiri mmoja wao awashe/ ateketeze kichaka Nyoka watoke Kila Kona.
 
... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!

Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!

Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Na mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa

Sasa tusubiri season 3...!
giphy.gif
Bi mkubwa anasimanga mpaka korodani zinanywea kama uko antartica au artic?!
Ila mipasho kutoka kwake tuliitegemea. Pamoja kwamba ni mama bado ni mtoto wa kike. Ndio zao.
Je move yake itapasuwa kijani au itampelekea wafuasi?!
Yetu macho tusubiri yajayo. Ambayo niamini. Yatatufurahisha.
 
Kuna kibiriti kimewashwa toka kwa mwenezi wa ccm Njombe na wengine wanachochea kuni wakiwemo wenyeviti wa mikoa wengi kasoro wale wenye njaa wakina Wakasuvi wao dawa yao inachemka!!
 
Bi mkubwa anasimanga mpaka korodani zinanywea kama uko antartica au artic?!
Ila mipasho kutoka kwake tuliitegemea. Pamoja kwamba ni mama bado ni mtoto wa kike. Ndio zao.
Je move yake itapasuwa kijani au itampelekea wafuasi?!
Yetu macho tusubiri yajayo. Ambayo niamini. Yatatufurahisha.
Kweli kabisa yajayo yatafurahisha sana
 
... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!

Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!

Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Na mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa

Sasa tusubiri season 3...!
giphy.gif
Za kienyeji
 
Hana huo uwezo wa kutengua tu uwaziri mkuu ovyo

Kwani Lowassa alipotenguliwa hakuwa waziri mkuu? Mnajua kwenye ile report ya BOT mambo gani yalijitokeza? Mnajua mambo yanavyoendeshwa kuko kwenye korosho na ushirika wa Kassim kuwahujumu wakulima kwa kuwapa bei za chini kwenye minada huku yeye na wabia wake toka Vietnam ndio wanafaidika?
 
Kosa kubwa la Ndugai ni kuomba msamahaa kutoka kwa Mwanamke, siku zote ukisha muomba msamahaa Mwanamke hata Kama ni Mke wako wa ndoa jua umekwisha, lazima atakudharau na kukusimanga kila wakati! Job angekomaa tu na ufafanuzi wa Mikopo hatarishi!!
Hakumuomba Mwanamke Msamaha Bali Mamlaka/Kiti.

Tatizo ni mikopo. Pesa zilikopwa akatibiwa. Kapona hataki zikopwe wengine nao watibiwe. Huko Kijani wagonjwa ni wengi bila mikopo watapukutika.
 
Huko Kijani wagonjwa ni wengi bila mikopo watapukutika.
 
Back
Top Bottom