babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,965
- 20,295
Sijui hata aliomba msamaha wa nini sasakilichobaki jamaa ajiuzulu tu
Sijui hata aliomba msamaha wa nini sasakilichobaki jamaa ajiuzulu tu
Ccm ilishapita kote huko,, it is notnig issue,... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!
Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!
Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Ni mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa
Sasa tusubiri season 3...!
![]()
Mashambulizi ya nini, kwani kufanya siasa hadi ushambulie mtu,,Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!

Na hii itawatokea cdm,, wanamu underestimate sana SSHUkimdharau mtu na kumuunderestimate matokeo huwa mabaya, Jobu alimdharau na kumuunderstimate mama, kaanguka kwa kishindo.
Huyu Mnyama ni Punda au Umbwa?... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!
Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!
Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Ni mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa
Sasa tusubiri season 3...!
![]()
Hao atawajibu kwa hoja muogope sana snitch unaekaa nae nyumba moja mnapanga mipango yenu pamoja alafu anakuuza kwa maaskari au kwa maadui zetu unadhani utamchukulia maamuzi ganiKapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!
Za siku mama.We fala kweli kweli. Aitwae kwa jina la kwanza ni close friend.
Afadhali uchambwe na asiyekujua kuliko kichambo cha ndani. Spika kapu moja na maza alafu anamvunjia vile.Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!
Usilolijua ni usiku wa kiza.Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mash ambulizi sijui itakuwaje!
Tatizo la nakala za katiba ni chache na kuzipata ni kwa mbinde sana.Mwenye maamuzi ya Nani awe Rais ni wananchi, hii tabia ya kujipa urais mpaka miaka au awamu ijayo inatoka wapi? Watanzania amkeni mkemee Hili
Mh! Photoshop au ni og?Mmh hili koti....