Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Kwa ukongwe wako hukupaswa kuleta kitu ambacho huna uhakika nacho. Uzushi huu haukubaliki, acha kuchafua watu.
Screenshot_20220105-122458_Twitter.jpg
 
Ma-parody hayo, wengine washaanza kukanusha
Kuna kikundi kwa makusudi ama kwa lengo lao wanaya publish.. Yako mengi sana.. Yapo mpaka ya marehemu zungu[emoji16]
IMG-20220105-WA0230.jpg
 
Hayo mashambulizi mbona hawakuyaelekeza kwa mwamba wa chato, tha late JPM..?.

Mbaya zaidi wakawa wanayakimbia maandamano waliotisha wenyewe kuanzia UKUTA na yake ya LISSU yasiyokuwa na kikomo baada ya uchaguzi...

Mnasahau baada tu ya uchaguzi jamaa mbio ubalozi wa Ujerumani...

Bila shaka mpaka march Serikali itakuwa imemhakikishia usalama wake....hahahaha
Samia atawashangaza,ngoja wamu underestimate tu,,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tuwekeeni hata picha ya chifu wetu wengine hata Tv hatuna na hajawahi kuja kijijini kwetu.

Angalau tupate picha
 
Ongezea na huyu,
Park geun-hye pale South Korea
Huyu si yuko gerezani au keshatoka?

Kila nchi na historia, mila na muktadha wake. Kumlinganisha Hangaya wetu na akina Thatcher na Merkel ni kumwonea tu. Acha siye tufaudu mipasho ya pwani tena kwa sauti nyororoooo tamu inayoweza kumtoa nyoka pangoni. Mama anakurembulia jicho huku anakumaliza...akina Kasim!
 
Hivi ile fimbo yake aliyomtwanga nayo yule mshindani wake si bado anayo??? Awe anatembea nayo kabisa kwani ni wazi washindani wake wameongezeka.
😂😂😂😂😂
 
Huyu si yuko gerezani au keshatoka?

Kila nchi na historia, mila na muktadha wake. Kumlinganisha Hangaya wetu na akina Thatcher na Merkel ni kumwonea tu. Acha siye tufaudu mipasho ya pwani tena kwa sauti nyororoooo tamu inayoweza kumtoa nyoka pangoni. Mama anakurembulia jicho huku anakumaliza...oooooh Kasim!
Acha siye tufaudu mipasho ya pwani tena kwa sauti nyororoooo tamu inayoweza kumtoa nyoka pangoni. Mama anakurembulia jicho huku anakumaliza...oooooh Kasim!....! Astakafiru.[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
nikaona na kidogo mikono inashuka kiunoni inapanda nikajua tayari mzimu wa mwajuma wa buza umeingia ni spana tu,ila usicheze na mwanamke asee hawawezi kukaa na kitu almost dakika 10 anarusha atomic tu kwa kipara. Angekuwepo pale angezimia asee mtu mzima na akili zake anakaa anaargue huko hahah nchi hii.

Kidogo nidhani nipo insta kwa mange anamchamba zarina. Sasa katelephone nae vipi maana kapunyuliwa na mkasi kakunja mikono tu hakuna cha MH wala nini ni huko kwa katelephone hajatumia hata neno ndugu.
 
nikaona na kidogo mikono inashuka kiunoni inapanda nikajua tayari mzimu wa mwajuma wa buza umeingia ni spana tu[emoji23]
 
Shangwe za mwenezi mstaafishwa

Bibi ashauriwe wayamalize kiutu uzima..maana vita vya panzi ni furaha kwa kunguru ....daah ila KARMA
 
Bibi ashauriwe wayamalize kiutu uzima..maana vita vya panzi ni furaha kwa kunguru ....daah ila KARMA
Kwa hapa ilipofikia ni ngumu halafu tatizo chawa... Hawatakubali
 
Back
Top Bottom