Hali si hali tena ndani ya Chadema,Makundi ni bayana sasa ndani ya Chama.Mbowe aandika waraka mzito!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Uchaguzi wa Kikanda ndani ya Chadema umedhihilisha bayana kwamba makundi yapo na imefikia hatua hata Mwenyekiti wa Chama hicho inaelekea yameanza kumshinda na hata yeye amekiri hilo.

Kwa mfano,uchaguzi wa Kanda ya Kaskazini umekuwa na makundi yanayohatarisha usalama na uimara wa Chama na hali hiyo imempelekea Mbowe kuandika waraka wa tahadhari na kuutuma kwenye Kanda akihadharisha mgawanyiko unaosababishwa na Viongozi na wagombea wa nyadhifa mbalimbali kuendekeza makundi yasiyo na afya katika mustakabali wa Chama.

Katika hali inayoonyesha Chama hicho kinaugulia makundi ndani ya Chama hivi sasa hata UCHAGUZI WA VUONGOZI KANDA YA KASKAZINI UMEAHILISHWA BAADA YA KUONEKANA HALI SI HALI!

Mwenyekiti Mbowe yupo huko kanda ya Kaskazini angalau kujaribu kuweka mambo sawa.

Mytake;Mficha maradhi ugonjwa humuumbua!

credit:Mwananchi.
 
Hii thread yako inathibitisha kitu kimoja tu. CHADEMA IPO HAI NA IMARA SANA. Wale wote waliokuwa wakisema kuwa CHADEMA imekufa watajionea wenyewe kuwa kuna uhai mkubwa na fikra kinzania ndani ya chama. Ingekuwa kimekufa watu wasingekuwa wakitaka hata kugombea au tusingesikia habari zake kama ambavyo hatusikii habari za CHAUMA au TLP.

PEOPLESSSSSSSS
 
Hii thread yako inathibitisha kitu kimoja tu. CHADEMA IPO HAI NA IMARA SANA. Wale wote waliokuwa wakisema kuwa CHADEMA imekufa watajionea wenyewe kuwa kuna uhai mkubwa na fikra kinzania ndani ya chama. Ingekuwa kimekuwa watu wasingekuwa wakitaka hata kugombea au tusingesikia habari zake kama ambavyo hatusikii habari za CHAUMA au TLP.

PEOPLESSSSSSSS
Nipe moyo.
 
Kuna kila sababu ya kuamini hili li CHAMA LA CHADEMA ni li BIGI.
Kwa nini.....?????
Kama unajitambua utajuwa tu
 
Gazeti la Mwananchi si ndilo mliaminilo!?

Kilochoandikwa kwenye gazeti na wewe ulivyo finyanga finyanga ili i-make sense unayotaka wewe ndio nilipoona tatizo!

Na aliendika hiyo makala huko Mwananchi nae ni mwananchi kama wewe!

Kuna 50% anawezakua kada au sio kada!

Hivyo sasa hivi kila mtu aamini ubongo wake binafsi
 
Back
Top Bottom