Sasa kupewa mjanja mwenye mababa watoto wanne!Awamu tano nchi ilkuwa chini ya Mshamba....
Siku 5 tu lakin naona ni kivumbi sio mim sio jobo hapakalik!!!!!!Ndio kwanza njaanuari[emoji23]
Huyu mama (Rais) huwa namfananisha kabisa na KHADIJA KOPA, wa mipasho! Yaani, wamefanana mpaka MACHO!Ni siku ngumu kidogo kwa mh wa Dodoma, lakini kwa kiasi fulani naona madam kajishushia kwa namna fulani heshima uliodhaniwa ako nayo.
Hakuna kitu kizuri kama wangemalizana wenyewe kwa wenyewe bila umma kujua nini kilijiri.
Uwezo anao na hakuna wa kumfanya kitu. Kassim atabaki kwakuwa wote yeye na mama walipitia kwenye misumari ya yule laanakumHana huo uwezo wa kutengua tu uwaziri mkuu ovyo
Kinachouma ni mbinu chafu kupangwa na watu wako mwenyewe(CCM),lakini ingetoka upande wa upinzani hiyo ni kawaida ingesemwa ndo kazi yao hawana cha kusifiaKapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!
Akija bongo mniite pakaNgoja March ifike mzee Lisu akitia mguu Tz mama atajua hajui...nafikiri atatafuta na bendi ya taarabu kutoa vichambo.
Mi binafsi sikubaliiiiKwa hapa ilipofikia ni ngumu halafu tatizo chawa... Hawatakubali
Umenena..Huko kwenye katiba Chifu Hangaya aliona aya inayoelezea wabunge wasio na chama bungeni?
Amekaa kishangingiHuyu mama (Rais) huwa namfananisha kabisa na KHADIJA KOPA, wa mipasho! Yaani, wamefanana mpaka MACHO!
kapoteza pambano?Kujiuzulu ni kupoteza pambano hatakubali
JPM is gone for good and Tanzania is better off!Hayo mashambulizi mbona hawakuyaelekeza kwa mwamba wa chato, tha late JPM..?.
Mbaya zaidi wakawa wanayakimbia maandamano waliotisha wenyewe kuanzia UKUTA na yake ya LISSU yasiyokuwa na kikomo baada ya uchaguzi...
Mnasahau baada tu ya uchaguzi jamaa mbio ubalozi wa Ujerumani...
Bila shaka mpaka march Serikali itakuwa imemhakikishia usalama wake....hahahaha
Check and balance inatakiwa ifanyikie bungeni sio uchochoroni kwenye mkutano wa kabilaIla Job alikuwa anafanya kazi yake ile kwa kizungu wanaiita 'check and balance' ila sema nini mama naye kambalansia kitu kizito [emoji23][emoji23]
Ndugai alikuwa sahihi kimajukumu ila kichama hakuwa sahihi, je tunajifunza nini?
Hii movie itaanzaa upya na Sterling bado hajajulikana. Yoote yanayotendeka nani yupo nyuma ya pazia??... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!
Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!
Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?[emoji23]
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Na mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa[emoji23]
Sasa tusubiri season 3...!
![]()