Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Ila Job alikuwa anafanya kazi yake ile kwa kizungu wanaiita 'check and balance' ila sema nini mama naye kambalansia kitu kizito

Ndugai alikuwa sahihi kimajukumu ila kichama hakuwa sahihi, je tunajifunza nini?
 
Humjui SAMIA wewe, ni MZOEFU KULIKO JOB NDUGAI. Yupo kamati kuu ya CCM tangu enzi za Mkapa, yeye ni mmoja waliompitisha KIKWETE na baadae MAGUFULI. Hayuko pale kwa bahati mbaya ana uzoefu na CCM pengine kuliko 90 ya wanaCCM wa leo.
Rais ni TAASISI, kabla ya kusema vile alipekewa taarifa zote kwa usahihi wake. Alichofanya ni kuonesha URAIS ni nini, haijalishi jinsia yake.
Namjua vyema ... ..toka asili na kale...

Na nadhani hujanielewa nilichomaanisha...

Narejea Tena..kwa akili za Job.. ..ajikaze...maana Naye ni taasisi ile..
 
Time when green dog eats green dog.

Niliwah waambia watu, saiz tuna kiongozi mswahili sana.

" mim niliesimama hapa ni rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike"

Kazi iendeleee sasa
 
Time when green dog eats green dog.

Niliwah waambia watu, saiz tuna kiongozi mswahili sana.

" mim niliesimama hapa ni rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike"

Kazi iendeleee sasa
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Namjua vyema ... ..toka asili na kale...

Na nadhani hujanielewa nilichomaanisha...

Narejea Tena..kwa akili za Job.. ..ajikaze...maana Naye ni taasisi ile..
Taasisi ikaombe msamaha kwa aibu vile.?? NIMEKOSA MIMI, NISAMEHENI.
 
... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!

Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!

Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Na mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa

Sasa tusubiri season 3...!
giphy.gif
Bibi kaharibu,mpaka sasa...

Ndugai...3
Mama...1,na ni dakika ya 65!
 
bado analalama wagogo wenzie kutukanwa kwa ajili yake ? mana ilimuuma sana hii😂
Atakikumbuka sana hiki kikaoa maarufu kama MIKALILE,mikalile ilihitaji wagogo wenye degree tu,hapo ndipo laana bin mikosi ilipoanzia kama ni mgogo huna degree hiyo mikalile haikuhusu na zaidi alikuwa kwenye maandalizi ya mtu wa kumpa kijiti kongwa!hivyo hicho kikaoa kilishagawanyika wagogo wenzake wasio na degree ni miongoni wanaomsagia kunguni

 
Kwa hiyo hii purging inayoenda kufanyika kwenye cabinet reshuffle na no confidence motion dhidi ya spika inaweza kutoa taswira kamili ya season zinazofuata? kwako mshana......
 
NDUGAI AJIUZURU KABLA HAJAFUKUZWA!

Heshima iliyobaki kwa Spika Ndugai ni yeye kujiuziru kabla CCM haijamfukuza. Sisi Askofu tulipomshauri anyamaze, lakini yeye akaamua kuomba msamaha wa kinafiki! Alikolalia ndiko wenzake walikoamkia, wamegundua kuwa ule msamaha haukuwa wa dhati, Rais 'kambalasa' hadharani. Asipokuwa makini ataondolewa kama mpangaji mdaiwa sugu! Mashujaa siku husimamia misimamo yao na kamwe hawapigi magoti kuyakana wanayosimamia. Misimamo ya Samweli Sutta ilimfanya apoteze Uspika, lakini aliendelea kuheshimika. Walio karibu na Ndugai wampelekee ushauri huu wa Askofu Mwamakula haraka sana kama wanampenda!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Kuna kibiriti kimewashwa toka kwa mwenezi wa ccm Njombe na wengine wanachochea kuni wakiwemo wenyeviti wa mikoa wengi kasoro wale wenye njaa wakina Wakasuvi wao dawa yao inachemka!!
Kinachokwenda kutokea CCM ni ""Bora Tukose Wote""Huu mvurugano sio wa kitoto.
 
Hiyo pesa kama anayo ni ya kutuibia hapo bungeni hana akili ya kumtengeza pesa ni ya kuiba kutoka vote za Bunge. Pesa hizo kama anazo zitakwisha kwani hatakuwa na chanzo cha kuingiza; mshahara wa RAS hauwezi kutunza wanawake zaidi ya mmoja!
lazima ni hivo mkuu,chenchi za kule india bado anazo
 
Back
Top Bottom