Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Mh! Photoshop au ni og?

Maana teknilojia sasa hivi ni ya kuogooa kama ukoma!

Wakati akiungama jana aliwalaani watu kumhujumu kwa kupunguza na kuondoa maudhui ya hotuba aliyotuhumiwa nayo.

Nikawa najiuliza kama huo ndiyo utetezi, mbona former Mwanza Rc Chalamila naye alihujumiwa kwa clip hivyo hivyo, kwa nini hawakujenga hoja kumtetea?

Huyu mzee sijui kama leo atalala usingizi upite!
Huyu mzee sijui kama leo atalala usingizi upite!
 
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 
hahahaha,umesema kweli,yani kitu kibaya sana kudharirishwa na mwanamke,ila hakana cha kupoteza pesa kanayo ni vema katulie pembeni katajijengea heshima

Hiyo pesa kama anayo ni ya kutuibia hapo bungeni hana akili ya kumtengeza pesa ni ya kuiba kutoka vote za Bunge. Pesa hizo kama anazo zitakwisha kwani hatakuwa na chanzo cha kuingiza; mshahara wa RAS hauwezi kutunza wanawake zaidi ya mmoja!
 
ANAADIKA ASKOFU BAGONZA

MWISHO WA NGUVU, MWANZO WA HEKIMA

Mkuu wa nchi ameongea tayari. Tumeona sura mpya tofauti na ile tuliyoizoea. Ukimgeuza sana nyoka utaona miguu yake. Yanasemwa mengi na wengi. Mimi nina mawili:

1. Ni nafasi ya Mama kuanza upya. Mvutano wa mihimili unafaa kama ni wa vyama tofauti. Ni hekima kumpa nafasi Mama bila kusubiri kuombwa kupisha. Ni salama na heshima kupisha ukarejeshwa kuliko kuambiwa umpishe mgeni akae.

2. Mke wa Kaizari anapaswa kuishi nje na ng'ambo ya tuhuma ya uzinzi.Tuhuma zinatosha kuvunja ndoa yake. Wanaotuhumiwa na Mama kuota 2025 wampishe bila kusubiri mkeka. Akipenda atawarejesha mwenyewe. Hiyo ni busara, siyo nguvu.

Arobaini za swala zikifika, huwa hasikii baragumu ya wawindaji.
Shtuka bila kuchelewa.
 
Mnanishangaza !!!!Ati wangemalizana kindanindani kwani nyinyi mlimtuma braza wa Sagara kongwa awasilishe kwenye halaiki halafu bint Hassan akasemee huko mnakoona hapa fai ? Nadhani hamjayapima ya Job na ndiyo maana mnaanza utetezi MWANA KULITAKA ..?.
 
Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??

Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa😂
Akapiga na Ndiyooo, Ndiyooo, Ndiyooo zile za Mwalimu!🤔
 
Inasemekana kuwa wanaume wote ma Democrats na ma Republican waliungana (japo kwa chini chini) ili kuhakikisha kuwa Hillary Clinton hawi rais. Sasa nimeanza kuwaelewa!
Nchi imemshinda na bado anataka aje kuwa mgombea huko mbeleni nchi ya wadangayika
 
Back
Top Bottom