Samia: Ki-Petro Magoti kinafanya vizuri huko Kisarawe

Yeye aliposema mtapigwa mpaka sura zibadilike sijui ziwe kama nini
Watu walimtukania ulemavu wake sana
Binadamu ndio tulivyo kwa double standards
 
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.

Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.

Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.

We call it double standard.
Aisee
 
Kipetro magoti kiliwahi kupiga watu mikwara kumbe ni kipetro tu
 
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.

Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.

Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.

We call it double standard.
Hiyo nayo ni kubwatuka
 
Wauaji wanajuana .

Petro ni muuaji kwa kutumia sumu , Samuya amejikita kwenye risasi
Hako kadubwana ndiyo kalimuwekea mzee Mangula sumu kwenye maji ya kunywa kana roho mbaya sana
 
Attachments

  • downloadfile-9.jpg
    downloadfile-9.jpg
    37.3 KB · Views: 15
Ila watu wengi mna muda mwingi sana wa bure. Hivi hili nalo ni la kufungua uzi hapa Jf?
 
Watanzania tulio wengi kwenye communication skills ni mlama.

Juzi mlimpiga vitofali vya kutosha leo mnamsikitikia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom