Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,695
- 145,396
Samia ni mjinga mpaka haujui ujinga wake.Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
