MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,266
- 10,853
Sasa unataka kusema kipetro kilinganishwe na Magwajima? Hicho ni Kipetro nasimama na Samia.
Naungana na hilo andazi, kimtu chenyewe hakijai hata kwenye kiganja utaachaje kukiita Ki-Petro?Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
Usimung'unye maneno mkuu, huyu ni mpumbavu kabisa.Samia ni mjinga mpaka haujui ujinga wake.
Kumbe nawewe unatabiri....sasa kubwa lenu wapumbavu wa ccm anamsifia magoti ...je wewe kuku unaetabiri humu kuwa atatumbuliwa kisa upumbavu unaoitwa madrasa tumuamini nani?Huenda magoti akatumbuliwa,ana mazonge mengi,mara kuvamia madrasa usiku wa manani,mara kuweka ndani watu wanaenda kununua viwanja
mama huwa ana matumizi mabya sana ya maneno
Haka kadubwana kakorofi sana.
Yeye pia ni mlemavu wa akili.Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.
Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.
We call it double standard.
😂😂😂😂😂😂Kama ndo ni haka samia yuko sahihi!
Ukiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?Kumbe nawewe unatabiri....sasa kubwa lenu wapumbavu wa ccm anamsifia magoti ...je wewe kuku unaetabiri humu kuwa atatumbuliwa kisa upumbavu unaoitwa madrasa tumuamini nani?
Kejeli ipo wapi? Hao ccm ndio wanaotufanyia sisi kejeli kila raisi anaekuja madarakani lazima alizungumzie hilo suala kwa kupiga marufuku na mikwara juu...pumbavu miccmUkiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
Angalia usije ugua wazimuKejeli ipo wapi? Hao ccm ndio wanaotufanyia sisi kejeli kila raisi anaekuja madarakani lazima alizungumzie hilo suala kwa kupiga marufuku na mikwara juu...pumbavu miccm
Wewe ndie mwendawazimu ulieshikiwa akiliAngalia usije ugua wazimu
Kwanini mkuu wa nchi adhalilishe viongozi wenzakeUkiandika kiungwana tu bila lugha za kejeli utapungua nini!?
Kwani magoti ni jitu kubwa mpaka umuite limagoti?..yule si kindululu tu kama kijotiKwanini mkuu wa nchi adhalilishe viongozi wenzake
Anambagaza kwakuwa ni Mtanganyika na mlemavu huku wazanzibar anawasifia
Kanalingia ulemavu maana mkikagusa kanasema mnakanyanyasa kwa vile ni kalemavu! Mkikaacha napo kanasema mmekaogopa!Haka kadubwana kakorofi sana.
Kwani akisema DC Magoti Kwa jina atapungukiwa Nini?Kwani magoti ni jitu kubwa mpaka umuite limagoti?..yule si kindululu tu kama kijoti