Samia: Ki-Petro Magoti kinafanya vizuri huko Kisarawe

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,546
Reaction score
4,040
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.

Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.

Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.

We call it double standard.
 
Kwamba ulikuwa unatarajia jipya kwake
Who are you
 
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.

Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.

Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.

We call it double standard.
Mkubwa hakosei
 
Hiyo ni kauli ya udhalilishaji mkubwa kwa kuweka neno hilo la ki-mtu fulani, yaani kidogo mno kimaumbile isivyo kawaida.

Kila mtu ana haki sawa za kiutu pasipo kujali maumbile yake. Kiongozi anapaswa kutumia lugha ya staha akiwa kama fanani mbele ya hadhira.
 
Safi sana. Halafu washangilie. Si wanezoea kushangilia kila kitu.
 
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.

Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu yangewatoka sana.

Ila kwakuwa aliyetoa kauli ni bosi wao hata pale Ikulu wakaishia kucheka kinafki ukumbi mzima.

We call it double standard.
Anafanya vizuri kwa kuvaa gauni la samia....short of that ni useless!
 
IMG_6512.jpeg
 
Hiyo ni kauli ya udhalilishaji mkubwa kwa kuweka neno hilo la ki-mtu fulani, yaani kidogo mno kimaumbile isivyo kawaida.

Kila mtu ana haki sawa za kiutu pasipo kujali maumbile yake. Kiongozi anapaswa kutumia lugha ya staha akiwa kama fanani mbele ya hadhira.
Hahaha yule bwana ni mdogo ndio
 
Huyo jamaa anayekamata watu wanaoenda kuangalia viwanja Kisarawe ndio ameambiwa anafanya vizuri??
Dogo anasumbua mboni Nikki wa PIli na Jokate kipindi walipokua huko Kisarawe kwa wakati wao hawakua na hizo pigo zake za kikuda huyu dogo halafu unatuambia wewe ndie mentor wake wewe ndie unaemfua yaan unamfua kua hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom