Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,608
- 46,252
Angesema habari zenu ndugu zangu ingetosha?
Nikikusoma vizuri mleta mada kwangu naona hata huyo unayemsifia kwa kurekebisha naona nae hakurekebisha chochote, kwani kusema "nawasalimu kwa jina la muungano" ndio salamu ya hilo kundi kubwa unalosema halikusalimiwa mwanzo?
Nae naona amekwepa kutoa salamu stahiki kwa hilo kundi jingine kama ambavyo unamlaumu huyo wa kwanza kutokutoa salamu, alitakiwa kuwa straight kutoa salamu stahiki, sio kuleta salamu mpya ya kijanja.