Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Kwanza kabisa nawasalimu wanajamii wote kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Hakika tumepata rais asie mnafiki,huyo ndio amaonyesha wazi kuwa serikali haina dini.

Haya masalamu mengine ya kibaguzi tu,unakutana na mtu hajui imani yako anaanza "bwana yesu asifiwe"🙄🙄 "salam alekem"🤔🤔

Salamu ya Rais wetu inajumuisha watu wote wa dini zote na hata wasio na dini kama kina Kiranga Yoda Johnny Sack . Sioni faida ya hizo salamu za kidini zaidi ya utambulisho wa mtu tu na jana mama hakuanza kusalimia salimia kila aina na kujichosha bure.

Wadau mnaonaje hii salamu ya mama?
 
Salamu haina mantiki. Itadumaza akili. Lakini salamu zinaweza kubadilika.
Mwalimu Nyerere alianza na salamu ya "UHURU"
Baadaye ikawa,"UHURU NA KAZI"
Baadaye ikawa,"UHURU NI KAZI"
 
Hii ni nzuri sana na inafuta milolongo ya salamu za kidini kwenye shughuli za kisiasa na kiserikali.ambazo.zilikuwa.zinakwaza watu wa imani nyingine ,utakuta.mtu anasalimia watu mchanganjiko kwa.salamu anayoitumia sehemu yake ya ibaba au anatumia salamu za.dini mbili tena anaanza kwa salamu ya dini yake bila kujali kuwa kwa kutumia.dini mbili kuna dini nyingine nyingi.ambao waumini wao ni wafuasi wao hukutambua uwepo wao
 
Kwanza kabisa nawasalimu wanajamii wote kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Hakika tumepata rais asie mnafiki,huyo ndio amaonyesha wazi kuwa serikali haina dini.

Haya masalamu mengine ya kibaguzi tu,unakutana na mtu hajui imani yako anaanza "bwana yesu asifiwe" "salam alekem"

Salamu ya Rais wetu inajumuisha watu wote wa dini zote na hata wasio na dini kama kina Kiranga Yoda Johnny Sack . Sioni faida ya hizo salamu za kidini zaidi ya utambulisho wa mtu tu na jana mama hakuanza kusalimia salimia kila aina na kujichosha bure.

Wadau mnaonaje hii salamu ya mama?
Ukianza salamu za kidini na Rastafarians nao watadai uwasalimie kwa kusema "Jaaaaah, Rastafari, Haile Selassie I".

Wahindu watataka kivyao Namaste au Om Shanti.

Wenye dini zao za kikabila nao watataka uwasalimie kwa dini zao.

Kila mtu atataka kivyake, vurugu tupu.

Kwa vile serikali yetu ni secular, haina dini, salamu ya mama Rais Sasha Fierce Queen Bee ina mashiko.

Hizo nyingine tutasalimiana makanisani, misikitini, mahekaluni na sehemu nyingine tunapojua hapa zinafaa.
 
Ukianza salamu za kidini na Rastafarians nao watadai uwasalimie kwa kusema "Jaaaaah, Rastafari, Haile Selassie I".

Wahindu watataka kkvyao Namaste au Om Shanti.

Wenye dini zao za kikabila nao watataka uwasalimie kwa dini zao.

Kila mtu atataka kivyake, vurugu tupu.

Kwa vile serikali yetu ni secular, haina dini, salamu ya mama Rais Sasha Fierce Queen Bee ina mashiko.

Hizo nyingine tutasalimiana makanisani, misikitini, mahekaluni na sehemu nyingine tunapojua hapa zinafaa.
Kabisa
 
Mimi sitacomment chochote, katika uzi huu sitaki kutenda dhambi, dhambi yangu ya uzinzi inanitosha. 😷
usiogope. hata dhambi ya uzinzi ilishafanyiwa marekebisho na mbunifu wa dhambi. dhambi ni kubaka. kama kuna makubaliano halali sio kosa wala dhambi!
 
ipo vizuri sana japo inawa 'exclude' wale ambao si waumini wa muungano maana huku kwetu wapo.
 
Back
Top Bottom