Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
You a have a point here.Hata kama hulitaji jina la Mungu kwa kutoka rohoni ,lakini Angalau umelitaja.Yani umemtanguliza Mungu,yani umesali kabla ya yote.Laana yaweza kutupata hapa. Mh Rais afikirie upya.
 
Wanaotumia iyo salamu ni waarabu na Kuna waarabu wakristo, waislamu na hata wasio wa dini!

Wewe hujui kuwa lugha yenyewe unayotumia imetokana na maneno mengi ya kiarabu???

Ivi una elimu gani kwanza???
Tumia kichwa kufikiri, kwani nikina nani utumia hiyo salam?.

Hata ukisema inamaana kwa kiarabu, sisi niwarabu?.
 
Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Hili taifa si la kidini na ndiyo maana hata asiyeamini Mungu anaweza kuwa kiongozi. Mamno ya Mungu na dini yabaki kuwa mambo binafsi na hiari. Hatupaswi kulazimishana kutaja taja jina la Mungu.
 
You a have a point here.Hata kama hulitaji jina la Mungu kwa kutoka rohoni ,lakini Angalau umelitaja.Yani umemtanguliza Mungu,yani umesali kabla ya yote.Laana yaweza kutupata hapa. Mh Rais afikirie upya.
Alishatoa salamu akianzaga kuongea lazima aseme namshukuru Mungu. Hapo kuna shida gani???
 
Acheni ujinga bila kusalimiwa kwa salamu ya kidini inamaanisha huna Mungu?
Nyani haoni kundule. Matusi yako hayanibabaishi. Bali yanaonesha malezi na makuzi yako yalivyo na mapungufu. Mtoto umleavyo ndo akuavyo. Nashukuru wazazi wangu walinilea ktk maadili mema. Sina kinywa kichafu.

Lakini nisikulaumu. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Hata huo uyahudi unadini. Mataifa yote ya zamani yaliendeshwa na dini. Salamu zote ni za kidini. Taifa la wayahudi lina dini yao.

Na Salamu yao Shalom inatokana na udini. Vivyo hivyo mataifa ya arabuni. Nenda hata Ethiopia wanasalamu ya kidini. Wanatumia Salamno na Ekzabel maskani. Ni kwakua Taifa hilo limekuwa likiongozwa kidini.

Pengine unahitaji kusoma anthlopology na Religion ili uweze elewa historia na asili ya baadhi ya mataifa na imani zao. Usikurupuke tu.
 
Tangu lini mmeanza kuwaiga America?
Marafiki zenu wakubwa si Wachina ambao taifa lao halitambui uwepo wa Mungu?
Mheshimiwa Rais yuko sahihi kutenga mambo ya serikali na dini. Kasali Kanisa, msikitini au hekaluni kwako na waumini wenzako inatosha kabisa.
Rais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!...
 
Nyani haoni kundule. Matusi yako hayanibabaishi. Bali yanaonesha malezi na makuzi yako yalivyo na mapungufu. Mtoto umleavyo ndo akuavyo. Nashukuru wazazi wangu walinilea ktk maadili mema. Sina kinywa kichafu...
Kwani waarabu wote ni waislamu? Tuanzie hapo kwanza?

Wayahudi wote wanaamini kwenye dini ya uyahudi?

Kwenye Uyahudi tangu enzi za kina Mosses hakukuwa na wapagani??? Walikuwa wanatumia salamu gani?

Sometimes ukiambiwa kitu kubali maana ndo ulivyo sio kwamba umetukanwa
 
Kabisa, haina ubaguzi wa kidini
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.

Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.

Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
 
Kwani kutumia Salamu ya kidini ndio kuheshimu dini ? Kama unao uhuru wa kuabudu bila bugdha tayari dini yako imeheshimwa, hizo nyingine mbwembwe tu.
Sa y kwenye kuapishwa wanatumia biblia na msaafu kama ndo hvyo wawe na apisha na kitabu na JMT
Dini zipo na ziheshimike ,yy kama haweze kusema Bwana Asifiwe atumie hiyo hiyo ya kwao
 
Ni mbwembwe za wanasiasa tu kujionyesha wako karibu na Mungu sana ila waendelee kukubalika.
Punguza kulalamika hyo salamu iko Bomba, tofauti na hzo salamu aleko, Mara tumsifu yesu kristo kwenye Mambo ya public doesn't make Sense zibaki huko huko misikitini na makanisani
 
Ameogopa kutaja jina la Bwana Yesu Asifiwe,

Sawa hawa ni.ndugu zake Ishmael, watoto wa mama yetu mdogo.
 
Tangu lini mmeanza kuwaiga America?
Marafiki zenu wakubwa si Wachina ambao taifa lao halitambui uwepo wa Mungu?
Mheshimiwa Rais yuko sahihi kutenga mambo ya serikali na dini. Kasali Kanisa, msikitini au hekaluni kwako na waumini wenzako inatosha
Mungu hayuko kanisani tu wala msikitini yupo kila mahala.
 
Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Acha kumsingizia mama wa watu aliyesababisha watu wasimuombee jpm I akina Bashiru,na manywele aliyedanganya mpaka mskitini
 
Habari zenu ndugu zangu/wananchi inatosha kabisa kwa Kiongozi kusalimia
Wanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake...
 
Back
Top Bottom