Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sasa mbivu na mbichi nje nje.
Wat I think ccm wanafanya at the moment ni so obvious,
katika serikali yeyote Duniani ambayo ipo katika
stage kama yao(kufa) wanatapatapa.
This is natural hata binadamu ukitaka kudondoka
utajaribu kushikilia kitu chochote kilicho karibu yako,
hata kama cha hatari kiasi gani ili usidondoke.
Dead and gone already!
 
ili swali naona litakuwa gumu sana kwa uyu jamaa Mwigulu wa nchemba iyo video clip ndo uliosema ndo hii? au sio nyenyewe hapo sasa ni swali mmoja lakini yanyongeza yapo kama 50 hivi.

Hapo ngoma inogile si mchezo!
 
What u THINK u already kno, prevents u from WANTING to know better
 
Maelezo ya Wanasheria hapa yanakuwa na CONTRADICTION kama Ludovick ndiye aliye record au alikuwa masterlminder wa hii saga otherwise kama Ludovick ni mtu wa TISS.

Haiwezekani mtu wa TISS akarecord bila kumshirikisha Ludovick kama kweli Ludovick alikuwa ana mission hiyo na Mh. Mwigulu.
Hueleweki hata unataka kusema kitu gani umebaki kulalama tu alimradi unaandika kwa kujiridhisha, nyie subirini tu muone mabosi wenu wanavyoumbuka.
 
mimi nahisi Ludovic alikubali kuchezea CDM mchezo mchafu lakini akawataarifu CDM , na CDM wakaamua waendelee waone CCM wako tayari kufanya mangapi. kwenye press conference ya CDM wamesema mazungumzo ya Ludovic na Nchemba baada tu ya kikao chake na Lwakatare wameya rekodi....sasa walijuaje? labda kama wanarekodi maongezi yote ya Ludovic au Ludovic alikua amewapa CDM mchongo mzima wa CCM.

Swali la msingi ni kwamba, nani alitekeleza mipango ya kuwashugilikia wahandishi wa habari?
 
Mwenzenu aliropoka ili ajiongezee umaarufu, wala hakujua kama yangekuwa hayoo.
 
Nia yao siyo hicho kinachoelezwa na wanasheria bali ni udhalilishaji wa makusudi. ni kama mtu akuvue nguo kwa makusudi halafu aite watu wengine akishangilia ulivyo na akicheka!! maccm noma!!

Umejuaje ndiolengo lao hilo ila watashinda CDM watashinda
 
Mwigulu anajidai mafia lazima ataumbuka kuna cd inametengenez kama ya lakwatare hii ni ya wassira wakipanga utekaji wa ulimboka.

Khah! nchi yangu Tanganyika! ila ni wazo zuri kama itawekwa kwa you tube tuone double standards za polisi, mahakama na DPP
 
Now he will understand court is not his father or mother to feel sorry for him!
He will testfy!

Mwenzenu aliropoka ili ajiongezee umaarufu, wala hakujua kama yangekuwa hayoo.
 
Mtahangaika sana ila sheria itachukua mkondo wake. SWALA LA MSINGI NI KWANINI APANGE KUTEKA WATU NA KUWAPA WATU DAWA ZA USINGIZI? HAIJALISHI VIDEO IMEPATIKANAJE. ILA NI KWANINI APANGE HAYO?
Kama haijalishi video ilipatikanaje wakati ndio evidence wanayoitumia sasa watamshitaki kwa base ipi, wamlazimishe kwa nguvu kuwa alitamka hayo? Kwanza Mahakama lazima ijiridhishe with no doughts kuwa ile video ni genuine na matamshi yote yalitamkwa na mhusika na kazi hiyo inatakiwa ifanywe na waliomshitaki (polisi) vinginevyo ile kesi itakwisha kwa nusu saa kama anavyosema Lissu.
 
Moto wameuwasha wenyewe sasa wanatamani kuuzima kwa kuukojolea, ukiitafakari vizuri CCM unajua kabisa jiki chama kinaishi kwa nguvu gesi, nakifananisha CCM na timu inayokaribia kushuka daraja.
 
Chemba la maji taka! Economist Grade Zero! ajiandae kutoa ushahidi mahakamani It seems anajua mkanda wote.
 
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!

Funguka, sio unaongea kishabikishabiki, sijui hiyo misura yenu mtaificha wapi manake mmeshaanza mikakati ya kuchakachua kesi kama kawaida yenu. Na sasa hivi tumewashtukia sijui mtachakachulia wapi manake kila kona mmebanwa. Pole sana ccm, nakutakia kila la heri huko unakoelekea, utusaidie kumsalimia ndugu yako KANU.
 
Back
Top Bottom