Mtoa mada ameuliza swali arafu amejijibu mwenyewe. Kwa kumuongezea majibu yake, safar hii Ina manufaa kwamba

1. Mkuu amekutana na mapokez mazur ya heshma akiwemo mangi kimambi

2.Marais wote walio kuwemo kwenye ukumbi, wamegundua Tanzania tulifiwa na magufuri kupitia hotuba yake na hivyo wametuonea huruma....

3.kupitia hotuba yake, dunia imejua kuwa Tanzania Haina wataalam wa afya wenye kutengeneza chanjo zetu, hivyo ameomba tupewe nyongeza ya chanjo ya nje siku zote

4. Safar yake, baada ya rais wa Zambia kupokelewa Ikulu ya marekan, yeye mpaka amerud Ikulu ya Biden hakuingia. So amejifunza na ss tumejifunza kitu jins wamerekan na dunia wanavyo tuchukulia...

5. Makamo wake amesema alipo achiwa nchi aliogopa Sana. Hivyo mkuu amegundua kwamba makamo kumbe mwogaaaaa. Akiwa rais lasm arafu Gaid waliyemkamata ...., Akitishia tu, mzee BP inaweza kumpanda n.k

So faida ziko nyingi tumemuonzea mtoa mada
 
Hahahahaha hiyo namba mbili umeua kabisa mkuu ukiachilia ya Mange na hizo nyinginezo, yaani hicho kitu kimenikera sana hata mimi, mpaka saizi tunaenda kuumaliza mwaka bado raisi anatoa salamu za rambirambi za msiba wa mwezi wa tatu! Aisee!

wenyewe watakuambia protocol, ilhali mwendazake mwenyewe ndio kwanza hakuwa hata na shobo na hivyo vikao. Tena nahisi angemaliza ten years bila kuhudhuria wakaona wamkatishe safari ya matumaini ya kweli.
 
Ndo vizuri jaman tuonewe huruma..Ila tu amejitahidi Kaz iendeleeeeee
 
Tatizo upinzani nao hawajitambui...
Huu ugomvi wa ndani kwenye kuta za ccm ungewanufaisha sana!
 
Tukiwa huko Cairo tusisahau kuwaomba wasiwe Wavivu kuendelea Kujenga Bwawa letu Muhimu la Umeme ( ambalo linasuasua sasa ) kwani sasa tuna Hela za Kutosha za Kukopa na COVID-19 tofauti na tulivyokuwa tukiaminishwa mwanzo kuwa tunajenga kwa Fedha zetu Wenyewe.
 
Unataka uwe konda wa ndege yake?

Mwache mama aendelee kuupiga mwingi kama Maradona
 
kujenga na kuirejesha TZ katika mahusiano mazuri ya kidiplomasia kwataka kufungua mipaka na kutojifungia ndani,
 
kujenga na kuirejesha TZ katika mahusiano mazuri ya kidiplomasia kwataka kufungua mipaka na kutojifungia ndani,
Ameenda na Pesa zao ili waendelee na Kazi ya Kutujengea Bwawa letu au? Wamisri hawapendi Upuuzi na Uswahili Ndugu.
 
Wamisri wamegoma kuendelea Kujenga Bwawa letu kwani Pesa hawazioni hivyo tunaenda kuwapigia Magoti Ndugu. Kazi ipo!
Kwani hao wamisri wanaletaje jeuri kwetu hao inabid siku moja watupigie magoti watuheshimu hebu tufanye kitu pale Victoria hakika lazma watapiga magoti mbele zetu
 
Yule shetani aliona watu ni wajinga sn
 
Kwani hao wamisri wanaletaje jeuri kwetu hao inabid siku moja watupigie magoti watuheshimu hebu tufanye kitu pale Victoria hakika lazma watapiga magoti mbele zetu
Huna Akili sasa mbona hamfanyi? Wamisri wana Akili kuliko Wewe kujitapa Kwako kwa Maji ya Ziwa Victoria ambayo mpaka sasa tunatimiza miaka 60 ya Uhuru hata Watanzania walio karibu na Ziwa hilo hawapati Maji na juhudi za Kuwaunganishia ndiyo zimeanza miaka ya karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…