Safari za Kikwete zazaa matunda...

Safari za Kikwete zazaa matunda...

Peace corps ni agents of US foreign policy and not local development. In any case you can't count that as a success.

Hata tukikubali Kuwa Ziara za mkuu ndio zimewaleta,je, ni kwa gharama gani? Je, hizo gharama zingetumika kuboresha maslahi ya walimu wetu japo kidogo?

Je, utegemezi Kwa mzungu ni suluhisho la matatizo yenu? Halafu baadaye mnasema oh mikataba mibovu.
 
kikwete fanya vitu vyako, mabarabara umejenga tele, leo tanzania imekuwa kama kijiji, kigoma to Dar ni masaa 12, kupitia daraja malagalasi.
Hao walimu wanakuja kuongeza xpenses tu!, toka lini Mmarekani akamfundisha mtanzania?

Kwanza mitaala 2metofautiana, watoto hawajui kiingereza, maticha wenyewe sometimes ngeli cheche.

Ndo ashindwe kuwalipa walimu wakwe2 akaombe walimu Marekani? Huyu jamaa co mzima kbs na analidhalilisha taifa le2, yani hela 2kope nje, 2waombe watujengee mashule, na walimu pia 2waombe?
 
Wameshakuja na wapo Tanzania kwa sasa na hiyo ni first batch na wengine wako njiani.
Ninawatakia kila la heri katika kazi yao na kwa ajili ya taifa letu changa na masikini.
 
Na hao waalimu wa Kimarekani waliletwa kutokana na safari za rais wa wakati huo? Maana ndilo hilo hawa majuha wanataka kutuaminisha kuwa bila Kikwete kuweka kiguu njiani tusingepata waalimu.

Mbona wazungu wanapatamani sana hapa kuishi kwa hiyo siyo lazima awaombe kikwete wao ndiyo huomba....
 
Wala hatuhitaji kushangilia.Walimu hawa kwanza wengi wao ni vilaza na hawana ujuzi wa kuelimisha,pili serikali yetu sasa inapaswa kuwajali waalimu wetu kwavile wapo na ni wengi, walipwe vizuri wafanye kazi kwa moyo.

Pia kuna tatizo la walimu kujazana mijini na vijijini wanakosa.
 
waje tu watusaidie kufundisha, ila jana wangeambiwa wanafunzi ndo wale waliofaulu pasipo uwezo wa kuandika majina yao. nami nawasubiri watuletee japo wawili hapa shule yetu ya kata. Mumbuga secondary school.
 
msaada mfu huo. nani akuletee professional teachers hapa Tanzania. Thubutu.
 
Kuna kocha wa timu za ndondi na pete waliletwa na kikwete kwa mbwembwe kweli walipofikishwa wakakabidhiwa kwenye mashirikisho husika matokeo yake walikosa viwanja mbaya zaidi usafiri wa kwenda uwanjani wakawa wanapanda hiace makocha wakaona ujinga wakasepa zao... sasa hawa nao wakija wapelekwe kwenye shule ambako hata umeme hakuna tuone kama hawatarudi ndani ya wiki moja...
 
tangu enzi za Karl Peters mpaka leo hatujaelewa somo tu!!!???
 
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.

utanzania wa kusubiri misaada ya kupita , ni fikra potofu.Ni vyema tukafundisha waalimu wetu ambao wataendelea kuwepo hapa nchini , na kuonyesha uzalendo wao.Ni lini nguo ya kuazima ikasetiri uchi?tujenge uzalendo wa kujenga uwezo wa kujitegemea.
 
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.

Naomba Zomba angalia tangazo la saidia maskini saidia maskini mzungu anapita na kudondosha senti 5 na kushangaa yule ombamba omba kukalia stuli ya zahabu na bado anaomba

Enzi hizi kweli ni za bwana Dhaifu kwenda kuomba peace corps kuja kufundisha wanafunzi wetu ? . Hata hao unaowaita wakujitolea ukiwapa pesa ya kujikimu inayolingana na mishahara ya walimu wetu hakuna hata mmoja atakwenda kule

Zomba shida si walimu, shida serikali inaijua , lkn vichwa maji wanaitesa nchi hii kwa kukosa kufikiri.ni mmarekani gani atafanya hii kazi kwa ufanisi ? waulize walio waleta kwa nini wametumia miela kibao kuleta hawa watu ? Nauli peke yake kwa mtu mmoja ni mshahara wa mwalimu kwa miaka mimne . kwa nini wasitoe hizo pesa ikaongezwa kwa mshahara wa mwalimu
 
Halafu wanakuja kuwafundisha wanafunzi wa nchi inayopeleka wanafunzi 5000 sekondari wasiojua kuandika hata majina yao karibuni wamerikani ila msijekuwa mnakuja kufanya utafiti wa rasilimali maana hata kipindi hicho mlikuja kama wamisionari.
 
naomba zomba angalia tangazo la saidia maskini saidia maskini mzungu anapita na kudondosha senti 5 na kushangaa yule ombamba omba kukalia stuli ya zahabu na bado anaomba

enzi hizi kweli ni za bwana dhaifu kwenda kuomba peace corps kuja kufundisha wanafunzi wetu ? . Hata hao unaowaita wakujitolea ukiwapa pesa ya kujikimu inayolingana na mishahara ya walimu wetu hakuna hata mmoja atakwenda kule

zomba shida si walimu, shida serikali inaijua , lkn vichwa maji wanaitesa nchi hii kwa kukosa kufikiri.ni mmarekani gani atafanya hii kazi kwa ufanisi ? Waulize walio waleta kwa nini wametumia miela kibao kuleta hawa watu ? Nauli peke yake kwa mtu mmoja ni mshahara wa mwalimu kwa miaka mimne . Kwa nini wasitoe hizo pesa ikaongezwa kwa mshahara wa mwalimu
kuna muda akili za watawala wetu huenda picnic kutembea wakija kutahamaki wameshatoa maamuzi ya ajabu,halafu akili ndio nazo zinarejea.
 
ninashauri wapelekwe shule za kata ili wakatusaidie kupiga debe ya matatizo yanayowakabili walimu wa kitanzania
 
Ahasante kikwete kwa kuvutia wawekezaji wenya manufaa makubwa km hawa......kweli wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom