Mkuu Hebu nijuze Leo ni chungu cha ngapi? Ili niandae ndizi mbivu na chachandu kwaajili ya kutafunia pilauNyie mnafundishwa kukaririshwa wenzenu wanafundishwa kuelewa. Ndio maana mpaka leo mko dunia ya tatu kwa kuwa hamuelewi.
..Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,
Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.
Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
..
Mie mwenzenu hapo awali nilikuwa naumiza Kichwa kujibu hoja Za Zomba, nakiamini kichwani kwake kuna kijiakili kiduchu kilichosalia.. Kumbe ni Mtu mwenye iwezo Wa panzi this way.. Mods mkiniona nimechangia uchafu Mwingine wowote wa Mtu huyu nawaruhusu mnipe BAN !! Ya kiukweli.. Fo my own sake!! I submit
Mi nawasubiri kwenye shule yetu ya kata nyandekwa huko kahama mkoan shinyanga watakuwa wametatua tatizo la shule ye2 la kukosa walimu wa masomo ya sayansi
Waalimu wazalendo hawakatishwi tamaa, hakuna wakati migogoro yao iliposhughulikiwa kama huu wa Kikwete, hakuna wakati mishahara imeongezeka kama huu wa Kikwete, hakuna wakati wanaosikilizwa na kuthaminiwa kama huu wa Kikwete, hakuna wakati vyuo vya Ualimu na wanaosomea Uwalim wamekuwa wengi kama wakati huu wa Kikwete. Na waliambiwa wakae mezani waongee, wanajidai kugoma.
Hao wanafata wajinga wachache wanaowadanganya, wasikurupuke.
Zomba,
..kuhusu migodi ya dhahabu, tatizo ni kila Raisi na Waziri anataka asaini mkataba wa kuchimba dhahabu.
..tulitakiwa tuanze na migodi isiyozidi 3 kama maandalizi ya kujenga uwezo na kupata mikataba mizuri zaidi ktk migodi mingine.
..kuhusu elimu, pamoja na mafao ya waalimu, I hope ulichoandika does not reflect the attitude ya wakubwa huko serikalini na ktk CCM kuhusu sekta ya elimu.
Gahrama ya UVasco Nusu ya bajeti ya serikali,
Matokeo walimu 47 wa kujitolea toka Marekani?
Haya wa Uk wako wapi?
Akili ndogo inaongoza akili kubwa.
Kuna watu hapa jamvini,
hawawezi kutofautisha,
kati ya hekima na kiwango cha fedha mfukoni.
waTanzania kadhaa wanadhani Fedha nyingi ni mbadala wa hekima.
baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,
Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.
Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
Shule za kata, kiswahili shida kwa wanafunzi je hao waalimu wa USA wataeleweka darasani kwa sampuli ya wanafunzi hao wasiojua vyema hata kiswahili? Lugha gongana na output ya hiyo lessons itakuwa approximately to none.