Acha uzushi mtoa mada hawa walikuwepo kutoka enzi hizo mie nilisoma kipindi cha Mkapa tulikuwa na walimu wa Physics,Biology na Chemistry kutoka USA na kwingineko usihadae watu kwa kuwa wewe ndo uko shule ya kata sasa au mwanao yuko huko hii system ilikuwepo tangu enzi hizo na hao walimu wenyewe huko kwao wanafanya mazoezi na wala sio walimu ambao wako na uzoefu hivyo nakumbuka wakati huo mwalimu wetu wa Physics alikuwa mkali sana kuliko yule Mmarekani kwa hiyo hizo safari za Kikwete zisikutie kiwewe ati zimezaa matunda au ndo unampigia debe????