Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Masikini bashite wa watu siku hizi hana mvuto kwa jamii tena kama zamani
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Makonda,... Kumbe hii ndo ID yako??? Mnamtumikisha mzee dialo kwasababu anadaiwa?? Ila na yeye akome. Kwenye kampeni alijifanya kijani kuliko kijani yenyewe... Haya sasa, kijani wameitia nyekundu.
 
Tusimchukie,tusimtenge tumuache akimbie sakafuni mwisho atakuta ukingo na ngazi yake itakua cheti origino
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
kwani kuna shida gani, wewe si umuangalie huyo bashite wako
 
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...

Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode

My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.

RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?
 
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo,inaweza ikawa kweli makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode

Kwani kasemaje huko katika Exclusive interview yake na Wanafiki Sahara Media?
 
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo,inaweza ikawa kweli makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode

Kwanini Makonda aliwakimbia wandishi wa habari waliotaka kumhoji? Kwanini polisi hawakufatilia hilo tukio? Kwanini Mwakyembe ajaunda tume itakayofatilia hilo tukio?
Makonda hawezi kujisafisha.
 
Siku zote anayekuja kumaliza mwisho ndio huwa anachukua point!
Hilo ndio anakubali kulizungumzia ila cheti hataki kugusia
ni sahihi mkuu maana naona kuna vitu vinaongelewa hapa vina ukakasi sana,,najua matusi na kebehi zitakuja ila sasa tunatakiwa kubalance story ...makonda kasema ni vema clouds watupe ushahidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom