Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Kwanini Makonda aliwakimbia wandishi wa habari waliotaka kumhoji? Kwanini polisi hawakufatilia hilo tukio? Kwanini Mwakyembe ajaunda tume itakayofatilia hilo tukio?
Makonda hawezi kujisafisha.
Ungemsikiliza ungepata majibu ya maswali yako. Ameyajibu yote
 
Ruge,Gwajima,Clouds huu ni muda wenu sasahivi na mkijifanya wajanja tutajua nyie ni Wanafiki.
Ni kweli mkuu hapa watu watani attack but mwisho wasiku watanzania tunataka ukweli hawa watu watatu wanavitu wanatuficha
 
Hapa Ruge Inaweza kuwa series ya kutaka kuwa ndo kila kitu kama anavyofanyia wasanii ili aabudiwe.
 
Anaiunguza mwenyewe bashite eti anasema "clouds wana mambo machafu nikiyasema sijui kama watasimama"
Note: Inamaana huyu kiongozi anajua uchafu but kanyamaza??? Serious?? Huyu ni Tapeli hana jipya....
Ina maana hayo.machafu yanamuhusu pia
 
Mrsir B mkuu hatetewi makonda wala hatetewi Ruge tunataka ukweli as long as na yy kasema clip ya cctv yote itoke y tusipewe yote tuache kushikiwa akili watanzania it might be kweli alivamia o not but wahusika waprove basi tuache utata
 
Hatutaki weka vyeti pembeni vyeti tutamuhukumu katika hilo na hatuwez kubali ukweli huyu kijana mwenzetu anavijidharau vya hapa na pale sio tatizo ni hulka ya mtu na mtu hutakiwi mjaji kwa baya moja au matatu ukatoa conclusion ila katika hili la uvamizi kuna kubwa hapa nyuma naziona logic nyingi nikicompare kwa kaka angu Ruge na kwa Rc makonda
 
ni sahihi mkuu maana naona kuna vitu vinaongelewa hapa vina ukakasi sana,,najua matusi na kebehi zitakuja ila sasa tunatakiwa kubalance story ...makonda kasema ni vema clouds watupe ushahidi
Mnataka kubance story leo wakati Bashite alikimbia tume ilyoundwa.

Naona mmerudi mnataka kumsafisha Bashite.
 
Ruge anajulikana ni mtu wa aina gani chochote anachokifanya lazima kuwe na story behind
Sasa watanzania wenzangu hawataki jua hilo wanajua tu kuwa bwana Ruge alisema kavamiwa em watupe basi ukweli wote ingawa ukweli siku zote ni mchungu
 
Hakuna la maana alilosema zaidi kuishia kulalama na kuwalaumu wauza unga kuwa ndio wanamkwamisha..
 
Mnataka kubance story leo wakati Bashite alikimbia tume ilyoundwa.

Naona mmerudi mnataka kumsafisha Bashite.
Mkuu asafishwi mtu hapa ikizingatiwa hawa wote wawili ni wachafu mvamiaji na mvamiwaji,,,,hatulazimishwi kusema mkuu tunasema pale tunapojisikia kusema
 
mkuu hatetewi makonda wala hatetewi Ruge tunataka ukweli as long as na yy kasema clip ya cctv yote itoke y tusipewe yote tuache kushikiwa akili watanzania it might be kweli alivamia o not but wahusika waprove basi tuache utata
Yeye ndo amefanya sisi tukabaki na upande mmoja, kwann hakutoka mapema au ndo hapangiwi, sasa amejipanga! anyway hizi ni series tu hop mengi bado atujayaona! tutaendelea kushikiwa akil zetu coz tumekubal wenyew! U'll say im politician, bt Y bashte alikataa wito au angefanya press yake akasema ukwel. so unluck to b in t.z
 
#CCTV#CLOUDS#
Mlikataa kuandika habari za Makonda leo mnahoji kwanini aongee leo... kweli Akili ndogo kujadili jambo Kubwa.
 
Kama anayajua anataka sisi tufanye nini? Alipokwenda kuwavamia ndo aliyamaliza hayo anatoyajua? Unafiki kwanza vyeti halafu baadaye mengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom