robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 831
- 1,386
yupo mweseCCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti mfanyabiashara!
NAsikia ni pesa zao. Wanachota serikalini, yeye anatunza kwa kujidai muwekezaji. Sasa Hotuba ya Tesha kanywea. Wenzake waliotajwa pia hatuwasikii. Au wanadhani hatukusikia majina yao?JAmaa janja sana, awamu hii gia yake ya kwanza kuiweka serikali mfukoni ilikuwa kufadhili ile roho tour, baada ya pale pimbi yeyote nchini aliyejaribu kuzuia dili zake cha moto amekipata...Lissu alihoji kuhusu mgodi wake wa makaa ya mawe kule Ruvuma sote tunajua kapigwa kesi ya uhaini anahangaika nayo hadi leo!.
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti mfanyabiashara!
kile kiwanda cha Bashe au ana hisa kubwa sana wengine pale geresha tuHuyo ni kibubu cha pesa za wizi nchini. Wote anawatunzia na anatumika, huku akijidai mfanyabiashara. Wapo na vijana wake ndani ya baraza la Mawaziri.
Hapo morogoro vipi? Kiwanda cha tumbaku kimemalizika kujengwa? Kitakuwa mali ya nani? Wizara ya Kilimo aliyetoa pesa, au kitachukuliwa na MKWAWA?
Hataki hata kutiki itabidi tuutafute huo uzalendo wake!CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.