Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Striker.. unajifanya duni sana kwa kumlaumu mtu aliyekufa! mbona wengine tumeamka tumshukuru nani marehemu? kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe! Usishangae hao waliomshangilia RA wengi wamekulia miaka hii ya tisini na 2000 hawakumbuki hata utawala wa Nyerere ulioisha mwaka 1985!