hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,388
Messi anavizia !? Aisee nenda kameze dawa zako usije kung'ata watu humu
Ila watu 😄😄🙌
Hata Messi migoli mingi anavizia tu rejea lile goli la kwanza alilofunga dhidi ya Cabe Verde, ila leo Misri wataoga magoli ya kutosha hii gemu sipangi kukosa kuiangalia kabisa
😀😀😀 Huyu wa manzese au sio ??
Ila watu 😄😄🙌